Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Wadau naomba niseme kitu ila nikikosea mnirekebishe msinitukane.NCHI ya TANGANYIKA ina Ardhi na Watu wake vivyo hivyo na NCHI ya ZANZIBAR.
Mwaka 1964 NCHI hizi mbili ziliungana na Kuzaliwa NCHI ya 3 ambayo ni TANZANIA. Binafsi niliamini MUUNGANO ule Ungezaa NCHI MOJA ambayo ni JAMHURI ya MUUNGANO TANZANIA badala yake kukawa na NCHI ya ZANZIBAR na NCHI ya TANZANIA lakini NCHI ya TANGANYIKA haipo tena. Na hii NCHI ya TANZANIA ipo ktk ARDHI ya NCHI ya TANGANIKA na Watu wa TANGANYIKA
Je, nikisema MUUNGANO Ule ulikuwa KULIBADILI jina la TANGANYIKA kuwa TANZANIA nitakuwa NIMEKOSEA?
Naomba Michango yenu.