Mheshimiwa Bilal.
Popote ulipo, bado wapo Watanzania tunaokukumbuka kwa utumishi wako makini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Elimu yako haina Chembe ya shaka, wewe ni mtaalamu wa Physics ya masuala ya Nyukilia, kwa hiyo naturally wewe ni kichwa. Ndani ya Afrika mko wachache.
Huwa...
Aliyekuwa Naibu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa na Mwambata Ubalozi India, Mohamed Hija Mohammed amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 8 kuchukua fomu hiyo.
Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.
Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar ambaye alihudumu kuanzia mwaka 2000 – 2010, Shamsi Vuai Nahodha amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM mapema leo asubuhi katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui.
WASIFU
Shamsi Vuai Nahodha alizaliwa 20/11/1962 na...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dokta Salhina Amour amefika katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini unguja na kuchukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi hiyo.
Hii ni mara ya pili kwa Dokta.Salhina Amour ambaye pia amewahi kuwa katibu mkuu...
Naona huko Zanzibar mnaleta mambo ya ki-chifu.
Abeid Amani Karume-Rais wa Kwanza Zanzibar
Aman Abeid Karume- Rais Mstaafu Zanzibar
Ali Hassan Mwinyi -Rais Mstaafu Zanzibar na Tanzania
Hussein Mwinyi -Mgombea urais 2020
Ali Karume -Mgombea urais 2020
Hii yote ni himaya ya CCM, ndugu Watanzania...
Mwanachama mwengine wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Omar Sheha Mussa amechukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ya uraisi wa Zanzibar kupitia tiketi ya chama hicho Mgombea huyo akiwa ni mgombea wa nne kuchukua fomu ya kugombea nafasi hio kutoka Chama Cha Mapinduzi Ccm Zanzibar.
Aliwahi...
Zoezi za kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) limeendelea ambapo Mzanzibar mwingine Mbwana Yahya Mwinyi amefika katika ofisi za chama hicho Kisiwandui mjini Unguja na kuchukua fomu hizo kwa lengo la kuwania nafasi hiyo...
Ukianzia na Bunge, UVCCM na baadhi ya makundi ya watu wachache hasa wanaccm wako mstari wa mbele kabisa kupaza sauti na kupambana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibadilishwe ili tu kuweza kumpa Magufuli nafasi ya kuongoza kwa kipindi cha zaidi ya miaka mitano.
Wengi wa wanaodai...
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif amesema urais wa Zanzibar hauuuzwi bali upo kwa ajili ya wananchi wa Unguja na Pemba.
Balozi Idd ametoa onyo kwa wote waliojipanga kutumia rushwa ili kununua uongozi na kwamba wazanzibar watampendekeza Rais wanayemtaka kabla ya kupitishwa na...
Amani iwe nanyi,
Mimi binafsi imenishangaza na kunishtua kuona kwamba mpaka sasa hakuna yoyote aliejaribu hata kujitokeza tu kuchkua fomu.
Kuna maswali mengi sana fikirishi katika hili. Je ni kweli viongozi wa juu wa chama ndio watahusika moja kwa moja kutoa jina pendekezwa na kumpa green...
CCM Zanzibar imesema ni ruksa kwa wanaccm wanaotamani urais wa Zanzibar kwenda kuchukua fomu.
Naibu Katibu mkuu wa CCM Zanzibar amesema uteuzi wa jina la Mgombea utafanyika jijini Dodoma na siyo Zanzibar na kisha litapelekwa Tume ya uchaguzi.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kuna Mzee Mmoja ( Jina Kapuni ) japo alishawahi Kuniongoza Kikatiba huko nyuma taratibu sasa naanza kuona jinsi ambavyo huenda Ugonjwa wa Moyo utakavyoanza Kumuathiri na pengine hata Israeli anaweza Kuamua Kuondoka nae mapema tu kwenda katika Mapumziko yake ya Milele.
Sababu kubwa ni kwamba...
Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21.
Wasifu wake ni huu hapa:
Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR.
Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari.
=====
TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
Chama Cha Demokrasia...
Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii.
Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day.
Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .
Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.
Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.
Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.