zanzibar

  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza hitilafu, Mikoa iliyoungwa Gridi ya Taifa kukosa umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye Mikoa iliyounganishwa na Gridi hiyo. “Juhudi za kurejesha mfumo zinaendelea kwa haraka ili huduma iweze kupatikana...
  2. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Yote ni majeshi, lakini Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ni linatumika Zanzibar pekee na Polisi linafanya kazi pande zote za Muungano. Kwa uelewa wangu, JKU ni kama ilivyo JWTZ. Japo JWTZ na POLISI yote ni majeshi, lakini kwa mtazamo wa watu wengi, hasa Watanyika(sijui Sheria inasemaje katika...
  3. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

    Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, imeyatambua "majeshi" ya Zanzibar kama Idara Maalum. Idara Maalum inajumuisha: (A). Jeshi la Kujenga Taifa - JKU (B). Kikosi Maalum cha Kumzuia Magendo - KMKM (C). Chuo cha Mafunzo Nafikiri, Chuo cha mafunzo ni mbadala wa Jeshi la Magereza. Vikosi...
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi au Taifa?

    Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION. TAFSIRI: COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory. NATION - a large body of people united by common descent, history, culture or language, inhabiting a particular country or territory. Kwa mujibu wa Katiba ya...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nini inaifanya Zanzibar iizidi Comoro kwa umaarufu?

    Zote ni visiwa katika bahari ya Hindi. Lakini ukivlinganisha, Zanzibar ni maarufu zaidi. Kwa nini imekuwa hivyo? Inaweza kuwa ni kwa vile Zanzibar inanufaika na rasilimali za Tanganyika? Comoro ikipata fursa ya kuvifaidi vya Tanganyika kama Zanzibar itaweza kuwa maarufu kama Zanzibar?
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

    Kwa kiasi fulani, vina mfanano na JWTZ kimavazi na kimuundo. Vyeo vinavyopatikana JWTZ kama SAJENT, CAPTAIN, MEJA, n.k. vinapatikana huko pia. Vina majukumu gani huko Zanzibar? Hivyo Vikosi vya JKU vinaweza kutumika Tanganyika kukitokea dharura?
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

    Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari. Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika. Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Muungano igeni Utaratibu mzuri wa Kujiuzulu kama Zanzibar

    Salaam, Shalom! Ziku chache zilizopita, palitokea taarifa njema za uwajibikaji Kwa waziri wa Serikali ya MAPINDUZI Zanzibar Kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuadimika Kwa Pombe visiwani humo akituhumu kubadilishwa waagizaji. Waziri aliyejiuzulu ni Waziri wa Utalii na mambo ya kale ndugu Siami...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kwamba katika mfumo wa muungano uliopo, inawezekana raisi kutoka Zanzibar akafanya kazi kwa maslahi ya Zanzibar zaidi ya bara au ya muungano

    Hili ni jambo ambalo wenye hekima wanalielewa siku nyingi, na labda wengine wengi sasa wameanza kulielewa, kwamba kutokuwepo kwa usimamizi wa kiserikali wa upande wa bara kunatokeza nafasi kwa raisi akitoka Zanzibar kuwa na uwezekano wa kufanya mambo kwa namna ambayo inatoa maslahi makubwa...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Masai tuliofanikiwa kimaisha Zanzibar

    1. Nimekuja Zanzibar mwaka 1999 kutafuta maisha, 2. Nikaanza kama Mlinzi hotelini, baadae msusi, kisha 3. Sasa, namiliki kampuni ya kuongoza watalii. Nimeajiri watu 9. Nimejenga nyumba ya block Longido. NB: Muungano udumu milele.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wamasai wameshindikana Zanzibar, lipelekwe Jeshi kuwapora marungu, fimbo na sime

    Zanzibar ina sheria zake na sehemu ndogo kuna sheria za Muungano. Wamasai hawataki kufuata sheria, ni vizuri jeshi liende huko kuwakabili. Wa Zanzibar wakija Bara wanaweza kuendelezatamaduni zao sababu wanakuwepo Tanzania kimuungano
  12. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Masai wakatazwa kutembea na fimbo Zanzibar; Je, Wamasai wamewakosea nini kila sehemu mnawakataa?

    Masai ni jadi yake kutembea na fimbo miaka yote. Hakuna siku tumewahi kuiona fimbo ya Masai kama silaha. Kinachoendelea Zanzibar ni mwendelezo wakupambana na kabila hili kutokana na ukweli kwamba wamejaa Zanzibar na wanaongea vibaya kuhusu ngorongoro. Ukiwakuta wakiwa na wazungu wanajadili mada...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahuzunisha sana !Sijui ni ubaguzi au nini? Ipo hivi, Kuna kijana yupo zanzibar, kwa muda sasa. Jumapili aligongwa na gari akiwa pembeni ya Barabara, baada ya kumshusha mkewe kwenye kibaiskel chake abaki kibandani, ili yeye akafuate mzigo wa kuongeza kitandani chake. Madhara aliyoyapata...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa Zanzibar na wamasai ni mwendelezo wa Ubaguzi

    Kutembea na sime kwa wamasai haijaanzia leo ni jadi yao na wamasai hawana ugomvi na mtu. Kuna ajenda fichika juu ya operesheni inayoendelea Zanzibar dhidi ya wamasai wenye sime. Wazanzibari wamekuwa na ubaguzi sana dhidi ya watu toka bara. Wamasai wanatokea bara na wanazidi kuongezeka huko...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wasiruhusiwe kuendesha vyombo vya moto Tanganyika bila kibali

    Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao. Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar...
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, muungano wa Tanganyika na Zanzibar upo kwa vigezo vipi?

    Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi inajeshi lake 4.) Kila nchi ina mamlaka yake ya mapato na mamlaka zingine zote husika katika kuemdesha...
  18. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

    Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar. Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi. Tangu lini raia wa kigeni...
  19. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Hussein Mwinyi tunakutaka utuletee Maendeleo Bara kama unavyofanya Zanzibar

    Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia 6.8 huku wa bara ulikuwa unakua kwa asilimia 7 kabla ya kifo cha Rais Hayati JPM tena katikati ya...
Back
Top Bottom