Mohammed Raza tajiri mkubwa Zanzibar anazikwaje bara?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana, kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika Kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa Mmbande, Mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu, kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu?

USSR
 
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana ,kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa mmbande mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu,kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu the?

USSR
Jamani umuhamia kwenya maiti tena kwani kuna athari gani wa kizikwa bara? Jamani mbona mmeenda mbali
 
Ukishakuwa marehemu maamuzi huchukuliwa na walio hai
Walio hai waliona sahihii kumpumzisha marehemu sehemu iyo,
Ni ujinga uliehai kumlalamikia aliye hai kwanini amemzika marehemu??
Labda aliye hai angekuwa hajamzika marehemu tungelalamika na kukuunga mkono
 
Jamani umuhamia kwenya maiti tena kwani kuna athari gani wa kizikwa bara? Jamani mbona mmeenda mbali
Acha wawaendee mbali tu hawa jamaa ukiingia anga zao ndo utajua jinsi walivyo wabaguzi
 
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana ,kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa mmbande mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu,kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu the?

USSR
Kwani lazima kuzikwa kwenu?

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
 
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana ,kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa mmbande mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu,kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu the?

USSR
USSR!

1. Ulikuja na uzi wa Marehemu Mkono tena ukajidai wewe una uchungu kuliko mke wake mama leah na leah mwenyewe! Tukakuonya acha kuingilia mambo ya familia za wenyewe.

2. Leo tena umekuja na ya Marehemu Raza! Hivi kiongozi una maana wewe unajua mambo mengi zaidi kuliko hata familia ya Raza?

3. Ni wazi kuwa wewe na pungwani anayejipendekeza kwenye mambo ya wenyewe.

4. Ni bora urudi kwenu huko Russia 🇷🇺 ukapambane na Ukraine 🇺🇦 kuliko kuja na hoja zako za kiduwanzi hapa Jf.
 
d939e530dc0738193274e771686b0ce9.jpg
 
Dar es salaam na Zanzibar ni kilometers chache Sana ,kwa tajiri Kama Mohammed Raza angesafirishwa kwa ndege dk chache Sana na kuzikwa kwao Zanzibar aliko kuwa mbunge mtu maarufu Ila Cha ajabu wamemzika kisutu kwa nini?

Je Zanzibar hakuna maeneo ya kuzika maana sio yeye tu wapo watu wengi wenye ushawishi na raia wa kawaida wanaazikwa mmbande mbagala kule wapemba waliponunua eneo la kuzikana wao tu,kwanini wasinunue eneo Zanzibar na kuzikana huko maana ni karibu the?

USSR
Leta picha za mazishi tuthibitishe madai yako
 
Back
Top Bottom