Ni sahihi wabunge kutoka Zanzibar kushiriki kuamua hatma ya bandari za bara katika Azimio linaloendelea?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
861
4,036
Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.

Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.

Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?

Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
 
Ukiuliza maswali hayo , Zitto Kabwe na kundi lake watasema wewe ni mbaguzi
 
Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.

Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.

Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?

Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
soma katiba inasema nini kuhusu mbungecwa zanzibar kabla ya kujambajamba
 
Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.

Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.

Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?

Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
Wakae kimya
 
Bandari ni suala la Muungano.Jifunzeni kwanza masuala yanayohusu Muungano kabla ya kubwatuka na kuonekana wapumbavu. Wenye kupinga mkataba huu wamegawanyika makundi mawili,wenye kupinga kwa maslahi ya kisiasa na ubaguzi na wasiojua lolote kuhusu mkataba bali kufuata tu mkumbo.
 
Makamu wa Rais Zanzibar ameeleza vyema kwamba mkataba huu haifiki Zanzibar, means unaishia Tanganyika. Bunge la Muungano lina wabunge wa majimbo kutoka Zanzibar pamoja na baadhi wa kuteuliwa jambo ambalo linaleta mkanganyiko unapotaka kutoa maamuzi kuhusu Tanganyika.

Leo mjadala hafifu unaendelea bungeni ambao kwa vyovyote vile hakuna mbunge anayeonekana kuelewa au kusimama kwa akili zake...wote wamesimama na misimamo ya vyama vyao.

Katika mazingira haya ni sahihi kumruhusu Mbunge wa Zanzibar kujenga hoja huku wananchi wakiamini kinachouzwa siyo cha Muungano?

Je, Bunge la Jamuhuri linaweza kuuza rasilimali za Zanzibar?
Ya Tanganyika yaamuliwe na Watanganyika kama ya Zanzibar yanavyoamuliwa na Wazanzibar.
 
Back
Top Bottom