zanzibar

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba . Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi? Ngoja tusubiri .
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  3. domokaya

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  5. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kutopanda bei ya bidhaa hiyo. Dkt. Mwinyi amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amteua Shariff Ali Shariff kuwa Waziri wa Uchumi na Uwekezaji Zanzibar

    RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said Kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yaani Zanzibar kama Gaza na Tanganyika ka Israeli

    Kiongozi wa Israeli ajulikanae kama Bibi au Netanyahu ameapa kuwa wapalestina chini ya Hamasi hawatakuwa na nchi na watabaki chini ya utawala wa kiyaudi milele. Na Zanzibar nayo ndio hivyo hawataweza kupata uongozi chini ya chama kingize zaidi ya CCM ,liwalo na liwe hakutatokea Chama kikaiondoa...
  9. Emanueli misalaba

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya yanafanyika Zanzibar?

    Wana Jf bila shaka mpo salama, Hongereni kwa majukumu ya kutwa zima ya ujenzi wa uchumi mtu mmoja mmoja, Familia na Taifa, Bila kuwachosha nijielekeze kwenye hoja yangu, Kwa Zanzibar unakuta kuna malalamiko sana chini kwa chini hasa linapokuja swala la kuajiliwa kwenye taasisi za serikali na...
  10. Jackcharty

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
  11. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Zanzibar 2001: Kulikuwa na umuhimu kutumia mabavu kiasi kile?

    "Stop, O People, that I may give you ten rules for your guidance, in the battlefield. Do not commit treachery or deviate from the right path. You must not mutilate dead bodies. Neither kill a child, nor a woman, nor an aged man. Bring no harm to the trees, nor burn them with fire, especially...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja akamatwa baada ya kushambulia Kanisa Katoliki Zanzibar

    Mtu mmoja ambae jina lake halijafahamika amevamia Kanisa Katoliki, St. Joseph Cathedral huko Zanzibar leo asubuhi. Mtu huyo amefanya uharibifu mbalimbali ikiwemo kuvunja sanamu kanisani hapo leo asubuhi. === Zanzibar Mtu mmoja aliingia katika mazingira ya kanisa maarufu la minara miwili mjini...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Watu 11 wadaiwa kumhujumu Dkt. Hussein Mwinyi Zanzibar

    Kundi la watu 11 likiongozwa na Balozi Ali Karume limetajwa kuunda mkakati maalum wa kuikwamisha Serikali Ya Dkt. Hussein Mwinyi, visiwani zanzibar. Taarifa za mawasiliano kupitia group lao la WhatsApp Zimevuja zinaonyesha namna wanavyopanga kuihujumu serikali hiyo kwa kutoa taarifa...
  14. Cheusi Mangala

    JamiiForums Tanzania Nimepata Kazi Zanzibar. Zipi changamoto na faida wa kuishi huko?

    Habari ndugu zangu, kuna kazi nimepata Zanzibar napaswa kuanza soon mwaka huu. Nimekuja kwenye dilemma ya kwenda au la, ni shirika lililopo bara na kule Zanzibar wana branch yao. Changamoto za Zanzibar ni zipi na uzuri wake ni upi?
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sehemu ya kusubiria boti Zanzibar inatia aibu

    Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic. Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria...
  16. AY 5225

    JamiiForums Tanzania Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    Heshima yenu wakuu. Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza kunitunuku hata ka 12 kwa bei hiyo hiyo kama offer. Be it as it may, nipo Unguja rn ila nitakuwa Dar...
  17. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Wamasai kuweni makini Zanzibar, mmewekewa chambo mnavutwa mnavutika tu bila kujitambua

    Politics. Hakuna watu wanajua ku manipulate watu kama wanasiasa, wakitaka jambo lao hua hawakurupuki waanzia mbali tu mpaka lengo lao litimie, miaka ya karibuni tumeona wingi wa wamasai kufurika Zanzibar kwenda kutafuta maisha, wameshakua wengi sana, na tuwe tu wakweli fanya yote ila Zanzibar...
  18. R

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

    Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani. Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka hadi wamtumbue wao? Sawa mamalka zimekasirika, hana kosa kwa mujibu wa sheria, chama kinamuita...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Askari wa JKU auawa, mkuu wa kituo cha polisi ashambuliwa

    Unguja. Askari wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), Ramadhan Juma Hassan (24) ameuawa, huku mwenzake akijeruhiwa na kundi la watu wasiojulikana walipokuwa kwenye lindo katika sheli ya mafuta. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu, leo Februari 6, 2024, Kaimu Kamanda wa Polisi...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dialysis Zanzibar ni bure na Tanzania bara 180,000 kwa siku

    Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti? ======= Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Back
Top Bottom