ZANZIBAR
SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
Najua kwamba kw Uislamu Paka wanapendwa na wanaonekana wasafi na sio km mbwa na kw moja ya hadithi kuhusu Mtume Mo ilisemwa kwamba paka alikuwa amelala kw msafa wale wa sala na mtume alichana upande mwingine ili asimsumbue na kumuamsha kwaiyo Uislamu wanaona paka wasafi sana na hawaaribu udhu...
Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili
Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar.
Majukumu yake: Kupika tu
Vigezo:
1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano.
2. Awe mkristu
3. Awe msafi
4. Ajue kupika vyakula mbali...
Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri.
Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI.
Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam.
Viongozi, Wanachama wa CCM...
Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu.
Jinsi...
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia alimpoka madaraka Aboud Jumbe bila sababu ya msingi
Jambo linalonisikitisha na kunishangaza na kuacha swali juu yangu.
Ni kwa nini ZANZIBAR haipewi uhuru wake na kutoka mikononi mwa makucha na ukoloni wa Tanganyika na kuendesha mambo yake kivyake kama nchi huru?
NB: Hivi ni kweli Nyerere aliuchukia ukoloni na utumwa au ilikuwa kinyume chake?
It's been 58 yrs. now Tanganyika have taken away the indepence of our country Zanzibar. We got our indepence from Britain and became a member of the United Nations. Kenya also became a member of the UN on the same day, As a member of UN, we fall under every security council resolution...
Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika (kuanzia Bandarini Hadi Mjini). Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kawaida kisiwani au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Dk Rioba ataja fursa kongamano la mashirika ya utangazaji ya umma
Dhima la kongamano ni vyombo vya utangazaji vya umma kwenda na mabadiliko ya kidijitali na TEHAMA ili viende na wakati au la vitaishia makumbusho kuwa vilikuwepo. Huku vyombo vinavyokumbatia mabadiliko ya teknolojia vikizidi...
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii.
Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
Director of the Tanzania Media Association (TAMWA ZNZ), Dr. Mzuri Issa said it is important to adopt friendly media laws in Zanzibar that lead to the existence of freedom of expression and access to information in the society.
She said that in meeting is during a meeting held at Takwimu House...
India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
Daily News 6 Oct. Pg3
Toka alivyo ongopea dunia na majeshi yake na ya NATO kuua wananchi wasio na hatia zaidi ya milioni moja, huyo Tony Blair ni mfalme wa kuzimu.
Sioni ujasiri wa kumkaribisha nchini kwetu ilhali ana mikono ya damu ya wananchi wasio na hatia.
Rais Mwinyi chonde chonde...
Kwa masikitiko makubwa pamoja na fursa zilizopo Zanzibar hususani utalii wa fukwe na Mali kale. Umaskini umetamalaki. Wengi wa wananchi wanaishi katika Hali mbali kiuchumi.
Ukihesabu ndege zinazotua ABEID AMANI KARUME INTERNATIONAL AIRPORT na hotel za kitalii zilizopo Zanzibar. Usingetarajia...
Wakuu habari ya muda huu
Vyote vipo katika hali nzuri.
Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni.
Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini.
Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu.
Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini.
Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo.
NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.