yapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata nafasi katika Obiti kwaajili ya Matumizi ya Satelaiti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti. Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 2000 hatimaye Mwanza yapata daraja la juu la kwanza

    Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa. Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR. Daraja hili la...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yapata hati mfululizo kwa kuwa kinara ukusanyaji mapato kimkoa, kitaifa

    Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani yenye Mbunge wake Ridhiwani Kikwete, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Utumishi na Utawala Bora, leo Ijumaa Novemba 24, 2023 imetunukiwa hati ya pongezi kwa ukusanyaji wa mapato ya ndani kimkoa. Hati hiyo imetolewa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha...
  8. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

    Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma. Ilikuwa ni majira ya saa tatu...
  9. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

    Bashe na mama Samia wanafanya kweli, bila longolongo: Dar es Salaam. Serikali imetia saini makubaliano yenye thamani ya dola milioni 400 (kama Sh1 trilioni) yenye thamani ya Benki ya Dunia (WB) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa ajili ya kufadhili programu mbalimbali za kilimo...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Ndege ndogo yapitiliza na kuingia ziwa Victoria

    Kwa mujibu wa vyanzo vya mtaani kuna uwepo wa ndege ndogo imepitiliza na kuingia ziwa Victoria --- Ndege yenye namba za usajili 9127 mali ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imepata ajali na kuanguka maeneo ya uwanja wa ndege manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera. Akizungumzia juu ya kutokea kwa...
  11. HPAUL

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yapata Centre back mpya

    Yanga jana imeingia makubaliano ya miaka mitatu, na mchezaji huru ambaye amemaliza mkataba wake na Sports Club Villa ya Uganda Gift Fred. Fred ambaye pia huchezea timu ya taifa ya Uganda huenda akachukua nafasi ya beki la CHAN Douambia. Exclusive: Gift Fred joins Tanzania's Yanga
  12. B

    JamiiForums Tanzania New Force yapata ajali Kitonga

    Mapema leo Julai 2, 2023, eneo la KITONGA imetokea ajali ya Bus la Kampuni la NEWFORCE, tusubiri taarifa kamili kutoka mamlaka husika.
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MOI yapata mashine maalum za Tsh. Bilioni 2 kwa ajili ya kutibu kifafa na upasuaji wa Ubongo

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanza kutibu maradhi ya Kifafa kwa kutumia vifaa (Mashine) maalumu ya Upasuaji wa Ubongo na Uti mgongo kwa muda mfupi. Dkt. Lemeri Mchome ambaye ni Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka MOI amesema kutokana na Mashine hizo...
  15. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. Trilioni 1.2 za Miradi ya Maji na Afya

    Kazi inaendelea, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania na Wizara ya Fedha Kupitia Waziri Mwigulu zimesaini mkopo wa Dola mil. 560 sawa na shilingi Trilioni 1.3. Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa ni kwamba mkopo huo ni kwa ajili ya Miradi ya Maji na Afya ya mama na mtoto. ==== Wizara...
  16. C

    JamiiForums Tanzania TAA: Hakuna ajali ya ndege ziwa Victoria, yasema ni zoezi la utayari

    Wadau na nyie mmeona. Kuna ndege imeanguka ziwa Victoria. === Ndege Ndogo ya Abiria imeanguka na kuzama Ziwa Victoria. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamefika eneo la tukio na kutoa msaada kwa abiria walikuwamo kwenye ndege hiyo. ==== UPDATE Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
  17. MZALENDO TZ

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank PLC (ACB) yapata Mwenyekiti Mpya

    Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo. Bi Kimaryo ni kiongozi mahiri, mwenye weledi na mbobezi katika nyanja za ukuaji na ufanisi wa biashara kutokana na uzoefu wake katika utoaji wa masuluhisho, mbinu...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Albam ya Marioo "The Kid You Know" yapata Streams Milioni 100 Boomplay

    Mkali wa Bongo Flava, Toto Bad a.k.a Marioo ameshare picha ya Plaque kutoka Boomplay zikionesha idadi ya watu usikilizwaji wa albam yake pamoja na wimbo wa Mi Amore ambao umepata streams Milioni 30. Ni rekodi nyingine ya Wasanii wa Tanzania kuvunjwa kwa Afrika Mashariki baada ya Rayvanny...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baada ya kujaribu kwa miaka 30, Korosho ya Tanzania yapata soko Marekani

    Kontena la kwanza la futi 20 lililobeba Tani 7.5 za Korosho iliyosindikwa liliondoka Mtwara Oktoba 5, 2022, na mwezi Novemba Kontena nyingine 5 zitasafirishwa kwenda Marekani baada ya Tanzania kujaribu kwa miaka 30 na kugonga mwamba. Korosho hizo ni kati ya tani 50 zilizonunuliwa kutoka...
Back
Top Bottom