Dah!! Pole nyingi kwa wafiwa na pia majeruhi wote wa hiyo ajali Mwenyezi Mungu awajalie heri na hivyo mpate nafuu haraka. 🙁
 
Aisee ndugu, kama ajali ilishatokea kitambo kama wanavyosema baadhi ya wadau; kwa nini unairejesha tena jukwaani?

Lengo ni kutengeneza taharuki upya, au? Muwe mnatuonea huruma Watanzania wenzenu bhana! Mnataka tuogope hata kusafiri sasa.
Sio ya muda wamepata ajali kweli eneo lile lile aisee pana gari imepita hapo wamenijulisha sasa hivi taarifa za hii ajali ni mbaya tofauti na ajali ya kwanza...
 
Back
Top Bottom