yapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Baadhi ya maeneo mkoani Iringa yapata mvua

    #HABARI:Baadhi ya maeneo ya Mafinga Mjini, mkoani Iringa, jana yamepata mvua za barafu ambayo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wakisema haijawahi kutokea huku wakiifananisha na ile ya nchi za Ulaya. Siku ya jana Oktoba 1, ilinyesha mvua hiyo ya barafu na kusababisha theluji kutanda barabarani na...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Ndege yapata ajali baharini offshore

    Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.
  3. Mlaleo

    Yanga yapata mbadala wa Aziz Ki

    Kifaa Kipya '' CHOUCHA'' kinatarajiwa kutua Jangwani.. hakijawahi kukosa penalty https://www.youtube.com/shorts/4Gg77a4WWxw?feature=share
  4. M

    Kenya yapata hadhi ya Mshirika wa kudumu wa Marekani

    Kenya imekuwa nchi ya kwanza kusini mwa jangwa la Sahara kuwa mshirka wa kuduma wa Marekani asiyefungamana na NATO. Hivyo anaungana na nchi nyingine za Afrika zenye hadhi hiyo ambazo ni Misri, Morocco na Tunisia. Kenya itanufaika kwa mengi kupita ushirikiano huo hasa masuala ya ulinzi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  6. JanguKamaJangu

    Barcelona yapata kipigo cha aibu nyumbani, yapigwa na PSG magoli 4-1

    Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
  7. B

    Israel imepewa ilicho kitaka kutoka Tehran

    1. Hata watoto wadogo huujibu uchokozi wa makusudi. 2. Ali beep Israel ubalozini, sasa kapigiwa kutokea nyumbani; anao ubavu wa kumpigia Ayatollah nyumbani? 3. Ni kawaida ahadi kuwa nzito nzito tokea kwa kila mpigiwa simu. Kumbe hadi wapi? 4. Inafahamika taarifa za kijeshi hata huku makwetu...
  8. C

    Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
  9. Suley2019

    CAG: TTCL yapata hasara ya shilingi Milioni 894. Yarejesha ruzuku kama mapato

    Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limepata hasara ya Sh894 milioni licha ya kupokea ruzuku ya Sh4.55 bilioni kutoka serikalini. Hata hivyo, hasara kwa shirika hilo imepungua kwa asilimia 94. CAG amesema shirika...
  10. Annie X6

    Haya magroup ya shule mmlishamaliza shule miaka yapata 12. mnachangishana Hivi mimi ndiye nawaza negative?

    Tuliomaliza shule wakati magroup ya whatsapp hayajaanza tulibadilishana mawasiliano tu..baadae teknolojia ikatukutanisha kwa sura zetu pichani na wengine hawaweki nyuso zao isipokuwa avatar au picha za wanawe nakadhalika. Kazi inakuwa na maswali pale lnapokuwa hamuonani na mnaanzisha group la...
  11. ze kokuyo

    Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema. Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya...
  12. Ghost MVP

    Shabiby yapata ajali usiku wa kuamkia leo, mmoja afariki

    Kwa habari zilizotufikia ni kuwa gari ya usafirishaji abiria ya kampuni ya Shabiby Line, imegonga lori la kontena kwa nyuma na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
  13. Mjanja M1

    Jeshi la Polisi laahidi kutoa ushirikiano Maandamano ya CHADEMA (MWANZA)

    Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitarajia kufanya maandanamano ya amani jijini Mwanza Februari 15 mwaka huu, Jeshi la Polisi limetoa rai kwa viongozi na wafuasi wa chama hicho kuwa wanalo jukumu mahsusi la kuhakikisha wanazuia lugha za uchochezi, kejeli na matusi kwa...
  14. RoadLofa

    Tatizo la kizunguzungu yapata mwezi mmoja

    Wakuu Nina tatizo la kizunguzungu / dizness na kuona maluweluwe yapata mwezi mmoja sasa nimeenda dispensary naona miyeyusho tu daktari kanipima tu pressure basi kasema ipo sawa ila nikajiongeza mwenyewe nikamwambia acheck damu na maji akadai atanicheck mpaka jumatano- week ijayo kama mnavyojua...
  15. Justine Marack

    M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

    Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo. Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
  16. Richard

    Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  17. kocha Nabi

    Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  18. Expensive life

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimae Yanga SC yapata ushindi kwa mara ya kwanza baada ya miaka 80

    Ndugu zangu vifijo na nderemu vimetawala mitaa ya jangwani baada ya klabu ya yanga kujipatia ushindi kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo. Ikumbukwe mapema leo klabu hiyo ilikuwa ikipepetana dhidi ya timu kibonde kutoka Ghana medeama fc kisha kuichabanga magoli matatu kwa mtungi...
  19. BARD AI

    Tanzania yapata nafasi katika Obiti kwaajili ya Matumizi ya Satelaiti

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, amesema Tanzania imefanikiwa kupata nafasi katika 'Obiti' ambayo ni Nyuzi 16W itakayowezesha Matumizi ya Eneo la Anga Kidigitali ikiwemo urushaji wa Satelaiti. Endapo Urushaji wa Satelaiti utafanyika, Tanzania itaongeza uwanda...
  20. Blasio Kachuchu

    Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
Back
Top Bottom