yapata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; migogoro yote itaisha nchini

    Naam, jamaa ni yule yule sijui ni wale wale I don't know. Namna ya kutatua migogoro ya Ardhi nchini. Jisomee mwenyewe. Halafu, wapinzani njooni kosoeni tuone hoja zenu na CCM tuchukue ========== MIGOGORO YA ARDHI – TANZANIA (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) yapata Katibu Mkuu Mpya

    Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka. Uteuzi umefanyika kwa Mapendekezo ya majina mawili , Michael Washa na Jackson Ndaweka , na Wakili msomi kushinda...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya tume ya Corona imetoa mapendekezo zaidi kuliko hali halisi ya ugonjwa kwa sasa nchini

    Nimeikuta mahali kutoka kwa mwananchi wa kawaida kutoka kijijini kwetu, amezungumza haya kama maoni yake binafsi: "Taarifa ya utafiti wa uviko -19(covid -19) inatoa mapendekezo zaidi na sio hali ya sasa ya corona nchini, na hali ya corona kwa siku zilizopita na athari zake. Binafsi nashangaa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapata pigo, Chage Alex Chage ajiunga CCM

  5. Kinuju

    JamiiForums Tanzania CRDB bank yapata faida ya billion 236 mwaka 2020

    Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020. Faida hiyo, ni sawa na ongezeko la asilimia 35 ikilinganisha na Sh172 bilioni iliyopata mwaka 2019, kabla janga la corona halijafika Afrika na kuathiri biashara kwa...
Back
Top Bottom