Treni ya kutoka Kigoma yapata ajali mitaa ya Kibirizi

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,720
10,220
1697737860513.jpg
Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.
1697737841881.jpg

Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi treni ya abiria iliondoka katika stesheni ya Kigoma Mjini, eneo la Kibirizi mabehewa matatu ya nyuma yaliacha njia na kuelekea eneo la Ardhi.
1697737846461.jpg
 
View attachment 2786721Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.
View attachment 2786720
Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi treni ya abiria iliondoka katika stesheni ya Kigoma Mjini, eneo la Kibirizi mabehewa matatu ya nyuma yaliacha njia na kuelekea eneo la Ardhi.
View attachment 2786722
Mataruma yanaonekana hayana kokoto, uzembe.
 
Back
Top Bottom