MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,484
- 20,436
Katika hali ya kushangaza na kufurahisha kwa wakati mmoja, hatimaye jiji la Mwanza linaingia katika orodha ya majiji ya kisasa yenye miundombinu ya kisasa.
Katika eneo la Mkuyuni , beams zimeanza kupanda juu kuashiria kuanza rasmi maandalizi ya kutengeneza njia ya reli ya SGR.
Daraja hili la juu linayaacha kiasi fulani majiji mengine Afrika mashariki kwa kupata daraja hili la juu.
Baadhi ya majiji hayo ni Mbeya, Tanga, Arusha, Kigali Rwanda, Bujumbura, Dodoma, Kisumu nk.