Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi...
Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia...
Unakuta Kipindi fulani ni cha ama dakika 30 au Saa Moja tu lakini Watangazaji wake wote Watano wanataka Kuonesha Umahiri wao katika Kupiga Stori na hapo hapo tena Matangazo ya Biashara yanafululiza na Content husika iliyokufanya usikilize hicho Kipindi unakuja kuipata ndani ya dakika 5 tu...
Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue.
Sometimes nagonga kaunda suti na mokasini za kisasa. Mkononi huwa sikosi magazeti, kwa siku nanunua magazeti kama matano...
Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.
Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.
Tumefika sehemu Morog kufukia...
Mambo vp jamiiforums
Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo.
Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema...
Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport,
NAHITAJI support,
Contact,
Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com
Whatsup: +25576736103
Katika kufanya diagnosis na kurekebisha matatizo mbali mbali kwenye magari. Asilimia kubwa ya gari nilizokutana nazo ni gari za japan mathalani gari za toyota japo nishakutana pia na gari za ulaya kama BMW, Land Rover na VW na gari za US kama Jeep na Ford.
Experience yangu mbaya kwenye kufanya...
Wakati tunalalamikia viburi vya watawala, naomba niwakumbushe ukweli huu:
Mwenyezi Mungu alietuumba, hakumpa mtu mmoja kila kitu kwani alijua hatari ya kufanya hivyo. Lakini sisi wanadamu, kwa udhaifu wetu, tumewapa watu/watawala mamlaka ya kuamua na kutenda karibu kila jambo linalotuhusu...
IGP Sirro umeona mbali sana na GENTAMYCINE nakupongeza kwa Kuomba 'Ushirikiano' wa Kiuzoefu na Kiuweledi kutoka kwa Jeshi bora la Polisi Afrika la Rwanda nchi iliyobarikiwa kama ilivyobarikiwa nchi ya Israeli.
Kwakuwa IGP Sirro wa TP ameanza nawaomba na akina Msuya wa SSIT na Mabeyo wa ZTWJ nao...
Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha.
Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
Habari zenu wanajamii
Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake
Sasa...
Kitu chochote tu akikisikia ama kiwe hakichekeshi au kweli kinachekesha atatumia muda mrefu 'kuchekacheka' huku 'akirembua' Macho yake.
Na hata akienda Kuchota Maji Bombani utaona akijifunua funua Nguo yake ( Dela ) huku akijiangalia Matiti yake na Makalio yake ambayo hata hivyo Mwenyezi Mungu...
Kila mara tu nimwonapo Mama yetu wa Kizanzibari akikutana na Mzee Wetu Mstaafu wa Pwani Bagamoyo naona huwa anafurahi na kuwa na 'Bashasha' nyingi sana zenye Mithili ya Kimahaba ( Upendo wa Kibaiolojia ) zaidi.
Binafsi natamani mno kama hawa ( huyu Mama Mzanzibari na Mzee wa Kipwani ) kama...
Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze Dini ya Kiislamu na aweze kuja kuwa Sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya Kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema...
Amani iwe kwenu wadau wa JF.
Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja na kwamba naenda kwenye msiba, nimepata nafasi ya kujaribu ufanisi wa Shirika letu na kuliunga mkono...
Wanajamvi wiki kadhaa zilizopita niliwaelezea mazingira magumu nilioyapata baada ya mzazi mwenzangu kupata mwenza nakuniwekea vizingiti vya mawasiliano akitaka niwasiliane na yeye(mume) kwa ishu zinazohusu mtoto kitu ambacho sikuridhika nacho
Nlichokifanya nilimpigia simu mama mtoto...
Simba SC mna ujinga flani hivi mnaamini eti team yenu bora hadi kwa Yanga SC. Hayo mkadanganyane huko huko vijiweni.
Uhalisia ni kuwa Yanga SC Jumamosi hatupotezi match. NARUDIA, YANGA SC JUMAMOSI HATUFUNGWI NA SIMBA SC TUKIFUNGWA NAAHIDI HAYA.
1. KUTEMBEA KIFUA WAZI
2. NIPIGWE BAN YA WEEK 1...
Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.