yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu juu ya muenendo wa chanjo ya COVID-19 Tanzania

    Leo wizara ya Afya imetangaza kuwa hadi jana, tarehe 14, jumla ya watu 207,391 wamechanjwa kati ya chanjo 1,008,400 tulizoletewa na watu wa Marekani. Chanjo zilizinduliwa rasmi tarehe 28 July, 2021, karibu wiki 3 zilizopita. Tathmini yangu inajikita kwenye muitikio wa watu kuchanjwa. Leo hij...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watu wa kikosi Maalum (Makomandoo) mliopo JamiiForums nitashukuru leo mkinijibu haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Je, ni kweli kuwa Majasusi wengi huwa ni Makomandoo? 2. Je, ni kweli kuwa katika Mafunzo yenu ya Ukomandoo huwa kuna Kipengele cha Kujifunza Uchawi? 3. Je, ni kweli kuwa kwa uwezo wenu mkubwa wa Kimedani nyie huwa hamna Kiwango Maalum cha Mishahara na kwamba Kiwango ukitakacho ukikiomba tu...
  3. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Team kali inahitajika kwa Kampuni ya Media

    Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena, nahitaji Vijana Wachapa Kazi sana. Kila mfanyakazi ni lazima ajue English vizuri kwa kunyooka sababu...
  4. Molleli

    JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  5. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukio lililobadili maisha yangu na umuhimu wa kupewa nafasi ya pili katika maisha

    Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana bwenini kwetu. Nilipofika Form 2 nikaanza kujifunza hizo mishe na mimi. Nakumbuka nilijifunza...
  6. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako. Catalytic converters...
  7. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Siku yangu imeharibika

    Nilikua nafuatilia series ya Walking Dead imeninogea sasa nimeanza episode ya kwanza ya season 7 hamu imeniisha asee.😔 Kifo cha Glenn Rhee kimenihuzunisha mno yaani sitaki tena kuendelea na hii series. Glenn alikua mtu mzuri sana kwa kusaidia wenzie hakupaswa kufa kikatili namna hii.
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ipe bajeti nyumba ya ndoto yangu

  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

    Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ombwe la uongozi litaendelea kukita mizizi iwapo sifa hizi za ndani hazitahuishwa

    Wapendwa salam, amani iwe kwenu. Mwaka 2007 nilitamani sana kuwa kiongozi mahali fulani.Nikiri kuwa ndani ya nafsi yangu kwa dhati nilidhamiria kuitenda kazi ile kwa bidii,uaminifu na moyo wa kujituma. Kwa kuwa nafasi ile ilikuwa ni ya kupigiwa kura kulikuwa na 100% ya kushinda au kushindwa...
  11. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana. Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo...
  12. Isaya mwakyoma8

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

    Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
  13. Yohana Charles-David Lymo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nguvu yangu ni Serikali, na mimi ndiyo Serikali yenyewe

    NGUVU YANGU NI SERIKALI, NA MIMI NDIYO SERIKALI YENYEWE! Nilipokuwa mdogo, sikuwa natambua umuhimu, ama kazi za koki ya bomba la maji kwasababu mara zote niliona mabomba hususani sehemu za umma yakitiririsha maji lakini maji hayo yalidhibitiwa kwa vitu vingine tofauti kabisa na koki, ambapo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  15. TRACE

    JamiiForums Tanzania Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

    Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

    BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu. Kifo hakizoeleki hata kidogo. Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa. Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Lema: Waziri Kalemani alimpigia simu mkewe akimtaka kuwapa Polisi ushirikiano wa kuondoa kamera

    Lema kupitia space anasema "Waziri Kalemani, alimpigia mke wake simu kwamba polisi wanakuja hapo kuondoa kamera wape ushirikiano, hii ni baada ya Tundu Lissu kupigwa risasi.." —; Godbless Lema Natamani kusikia hii Taarifa siyo kweli, natamani kusikia kutoka kwa Mhe. Kalemani. Kama mke...
  18. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kwenda Burundi imeiva

    Twenzetu burundi...!
  19. Mkushi Mbishi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kurudisha email iliyosahaulika password

    habar ndugu zangu natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili. kibaya zaidi...
  20. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anatusumbua kwa kelele mpaka nashindwa kulala au kupumzika

    Habari wadau..! Jirani yangu ananisumbua sana kwa kelele nashindwa hata kupata usingizi . Nimeanza kupata msongo wa mawazo kwa kelele zake ,nahisi kuchanganyikiwa. Kiukweli amekuwa kero sana,kuna mda nawaza kununua dumu la petrol kama Grace maana amezidi kunikera yaani ningkuwa na chuma kama...
Back
Top Bottom