Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

LUKAMA

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,081
1,271
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini.
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine wanasema ni jani tu la kawaida

Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi

20210917_114217.jpg

20210917_113848.jpg
 
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani ivi za serikali mkoa kilimanjaro. Ninapo kaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani leota pembeni yake. Kama nilivoweka picha hapo chini
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengibe wanasema ni jani tu la kawaida

Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi

View attachment 1941871

View attachment 1941872
Mkuu hiyo ni aina ya weed kwa jina la kitaalam inaitwa 'black jack' na kwa kimeru 'wondering jew'.
 
Heee.. Tobaaa

Kumbe bangi ndo ipo hivoooo? Asa kwanini mmepanda ofisini jamani si kosa kisheria?

Ila hilo uwa la bangi mbona zuri mi nikajua bangi wanavoisema ni hatari Basi limti lake nilitegemea limetishaaa tishaaa hiviii

Mkuu ng'oa fasta itakuwa kesi hiyo Tafadhali usivunje sheria bwana we ing'oe tu utaenda jela bure shauri yako.
 
Inaonekana hiyo ofisi ni mabingwa wa hiyo kitu. Maana palipo na moshi hapakosi......
Heee.. Tobaaa

Kumbe bangi ndo ipo hivoooo? Asa kwanini mmepanda ofisini jamani si kosa kisheria?

Ila hilo uwa la bangi mbona zuri mi nikajua bangi wanavoisema ni hatari Basi limti lake nilitegemea limetishaaa tishaaa hiviii

Mkuu ng'oa fasta itakuwa kesi hiyo Tafadhali usivunje sheria bwana we ing'oe tu utaenda jela bure shauri yako.
Umekosea. Hawasemi Hee tobaaaaa! Hapana, ni: Hee toooooobaa!
 
Ndio uje sasa kuwa watumishi wa serikali yenu wanakula mjani, hii kitu ni ganja mzee baba hapo kama ni ofisi ya serikali mjua kuna wala majani hapo , sema kwakua hawana kazi ya kufanya zaidi ya kuhangaika na upinzani na vijimambo kama hivyo angalia vizuri usije kuwa muhanga
 
Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani ivi za serikali mkoa kilimanjaro. Ninapo kaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lemeota pembeni yake. Kama nilivoweka picha hapo chini
Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengibe wanasema ni jani tu la kawaida

Mwenye uelewa zaidi kwenye vitu kama hivi

View attachment 1941871

View attachment 1941872
Hilo ni jani la weed.. Ama wenyewe wanaita ni mjani wa weed au mchicha pori
 
Back
Top Bottom