yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

    MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
  2. D

    Nimeamua kurudi tena kwenye biashara yangu ya ukangomba

    Kuwa Kangomba siyo dhambi kama wachache walivyokaririshwa! Kangomba ni rafiki wa mkulima, kangomba anatoa pembejeo kwa wakulima, kangomba anatembelea wakulima wake, kangomba anatoa chakula kwa wakulima wakati wakisubiri wavune, kangomba ni bwana shamba mwenye faida, kangomba ni benki ya...
  3. U

    Babu yangu kashindwa hudhuria kikao cha Ukoo

    Asili yetu ni Kijiji cha Nyamwaga, Tarime Mkoani Mara na ni desturi ya ukoo wetu kufanya vikao kujadili masuala yanayotuhusu WanaUkoo hupewa taarifa mapema kwani wanaishi maeneo tofauti na baadhi ya maeneo kuna shida ya miundombinu ya usafiri Hata hivyo kwenye kikao cha karibuni Babu yangu...
  4. Mwandwanga

    Nukuu muhimu toka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K. Nyerere

    WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
  5. F

    Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia moto hata kwa dk 3 mpk 5 ikishapata moto engine ndo inawaka. Nimeshaipeleka kwa fundi lkn bado shida...
  6. T

    Nini hatma ya Muungano wetu?

    Habarini wana ndugu, Binafsi ni mgeni katika uwanja huu awali ya yote ningependa kubisha hodi humu ndani. Mada yangu haswa ni kuhusu muungano wetu ambao tumekuwa nao kwa kitambo sasa. Linapokuja suala la muungano tumekuwa tukisikia swala la kuwaenzi waasisi wetu ilhali kuna mengi waasisi...
  7. Chizi Maarifa

    Kilichokuwa Nyuma ya Story yangu ya kusaka Utajiri Kongo DRC

    Naona wengi mnanichukia na kuniita majina yote mabaya.Fisadi, Tajiri Mjeuri, Handsome Boy, Billionea Chizi n.k Ile story nlilazimika kuisitisha baada ya wahusika kunifuata na kutaka niisitishe na walitoa sababu zao. Mbaya zaidi mmoja ana connection kubwa sababu ya biznez zake za Madawa. Nami...
  8. ZOPPA

    Natarajia kufungua kufungua kesi mahakamani nimshtaki mkuu wa mkoa kwa uonevu dhidi yangu

    Husika na kichwa cha habari wana jf Mimi ni kijana mwenzenu ninae tafuta hela kwa hali na mali, mwaka 2013 nilifanikiwa kununua eneo lenye ukubwa hekari 25 wilaya ya Mvomoro kata ya Kimambira kijiji menge mwaka 2016 eneo hili nikawa nalima matikiti na nyanya nikawa najipatia mapato...
  9. 2019

    Salamu yangu ilivyovunja ndoa ya mtu, niliumia sana, mpaka leo nakumbukaga tu

    Kisa hiki kitakuwa na episode 2 tu ili nisichoshe wasomaji. Kisa cha kweli ambacho huwa nakumbuka kinaniuma sana nilishaapa sitorudia tena,nikikumbuka yaliyotokea naamini kabisa wanawake wakipenda wanakuwa vipofu kabisa hawaoni madhara ya mbele. Ilikuwa mwaka 2012 nikiwa nimepanga getto pale...
  10. N

    Naomba ufafanuzi kuhusu michango yangu ya PPF

    Wanabodi habari ya majukumu? Nakuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa mwenye kuelewa utaratibu wa Jambo hili. Mimi ni mwàjira katika sekta binafsi. Kabla ya serikali kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii nilikuwa mwanachama wa PPF. Baada ya kuunganishwa kwa mifuko tukaelezwa sisi wafanyakazi wa...
Back
Top Bottom