Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
Siku chache baada ya tozo za miamala ya simu kuongezeka kutoka makato ya awali wakati wa kutuma pesa au kutoa pesa mpaka Makato ya sasa amambayo yapo na yanatumika Nini athari zake kwa watanzania
1. KUDORORA KWA BIASHARA ZA MTANDAONI
Biashara za mtandaoni zitapoteza wateja na kudorola hususani...
Wadau kwema.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya..
Kazi nazoweza kufanya
Kazi ya sales
Storekeeper
Kusaidia fundi.
Kazi ya kusimamia mradi
Kazi ya usafi
Na kazi nyinginezo...
AKILI YANGU ni tafakari zenye maneno machache ya kuhamasisha katika maisha ya kila siku.
Sehemu ya kwanza
👉MAISHA HAYANA FOMULA
Msemo huu humaanisha katika maisha hakuna anayeijua kesho yake na akaweza kuiandaa. Wote tunaishi kwa kubahatisha. Hivyo ni vizuri kuishi kwa kuyatazama malengo...
Jana ilikuwa siku yangu ngumu sana kazini baada mtaalam wangu juzi nilienda kumuona kunipa hirizi niende nayo ofisini niweke juu chini kapeti la miguu mlangoni then jioni niondoke nayo ili kuweka mambo yangu sawa ofisini.
Haikuwa kazi nyepesi siku nzima siku na raha nikiwaza pale kapeti...
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.
Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup...
Mafuta yanapanda Bei Kila kukicha, kipato kinapungua kila kukicha.
Nimepita Ubungo, kituo cha kujaza natural kwenye magari (sheli, tuite hivyo ili nieleweke) nimekuta kg 1 ni shilling 1550.
Gharama za kubadili mfumo ni kama milioni moja na kidogo.
Jumamosi naipeleka gari ikabadilishwe mfumo...
Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima.
Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza akaniambia ametoka kidogo . Ikabidi nimuulize , umeenda kufanya nini huko ulipoenda . Akanijibu kuna...
Salamu zangu kwenye Kongamano la Katiba Day
01/07/2021.
Ndugu Mgeni Rasmi Mh Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
Mheshimiwa John Mnyika Katibu Mkuu Chadema Taifa
Watoa Mada wakuu Prof Rwaitama na Askofu Emmanuel Mwamakula.
Wageni waalikwa wote na vijana wenzangu, itifaki...
USHAURI NA MAONI YANGU KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO.
Ilikuwa Octoba 21 katika taarifa ya habari ya Channel Ten nilimsikia Mgombea Urais wa Ukawa,Mh Edward Ngoyai Lowassa akisema kwamba Serikali yake itaangalia jinsi ya kuuvunja mkataba wa bandari ya Wachina Bagamoyo, Alisema haoni mantiki ya...
SIKU YANGU NA ALQUAM KIOBYA MJUKUU WA SAADAN ABDU KANDORO
Alquam Kiobya ni kijana mdogo kama mnavyomuona.
Huyu ni mjukuu wa Saadan Abdu Kandoro mmoja kati ya wazalendo 17 waliounda chama cha TANU mwaka wa 1954.
Katika timu ya waasisi hawa alikuwapo kwa kuwataja wachache babu yake Alquam...
Nimetoka Kumsikia Msimamizi Mkuu wa Uwanja wa Maji Maji huko Songea (Mkoani Ruvuma) utakaotumika katika Nusu Fainali ya ASFC Kesho kati ya Azam FC na Simba SC nimebaki Kusikitika na hata Kukasirika pia.
Ukweli ni kwamba hadi GENTAMYCINE naandika Uzi huu hivi sasa Uwanja upo tayari kwa 75% hadi...
Baada ya JKIA Terminal 1A kupanuliwa na kujengwa na technolojia ya kisasa, sasa wameamua kuvunja 1C na 1D na kuzijenga upya
Terminal 1A ilishapanuliwa na kufanyiwa hivi
Sasa huko kwa 1B na 1C ndo kulikua bado airport ya zamani
Baada ya upanuzi hapo kati kati ambapo sahii hua ni parking...
Ndugu zangu haya mambo yanatisha! Twende kwenye mada.
Huyu mtu nimelalae kitanda kimoja, mida ya 8 usiku ni kama alikuwa akiongea na mtu kwa lugha ya mabishano. Nimestuka kuomuona akilia usingizi, kilio kisicho na machozi ila chenye uchungu na malalamiko.
Nilishindwa kulala, hii maana yake...
Nyumbani kwangu hapa naishi na mke na watoto wangu wawili pamoja na binti wa kazi na ndugu wawili.
Sasa kuna kipindi kuna paka mdogo alikutwa maeneo ya karibu na mtoto wangu basi mtoto wangu huyo akamleta.
Ni kipaka cheupe chenye madoa ya brown kwa mbali, kilikuwa kidogo sana, Binafsi...
Inasikitisha sana Tanzania sijui inaelekea wapi. DC ni nafasi nyeti ya kuunganisha watendaji na jamii inayowazunguka. Kusimamia mambo ya ulinzi na usalama.
Hii ni nafasi ya waandamizi kutoka katika utumishi au chama, wakiwa wamejaa utu uzima na busara za kumwagika. Leo unaenda kuokoteza...
1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka?
2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana?
3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success?
4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.