Kwanini Mightier sijachukia Simba SC yangu Kufungwa Goli 1 kwa 0 na TP Mazembe katika Simba Day na bado nina Furaha kwa Mbungi Kubwa iliyopigwa?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,734
1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC.

2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC.

3. Nimefungwa na moja ya Timu si tu Kubwa bali ni Tajiri pia barani Afrika tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC.

4. Nimefungwa na Wachezaji Professionals kweli kweli na Waliokuzwa vyema Kisoka kutoka Academies mbalimbali Barani Afrika tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC.

5. Nimefungwa Goli dakika ya 84 baada ya kuwapa wakati mgumu mno Wapinzani tofauti na wengine walivyofungwa mapema na Zanaco FC na walivyofungwa Nje Ndani na Rivers United FC.

6. Nimefungwa na Timu ambayo pamoja na Kunifunga huko ila mpaka muda huu Mightier naandika Uzi Wachezaji wa TP Mazembe wamelala na Viatu kwa Kuchoka tofauti na wa Zanaco FC au Rivers United FC ambao baada ya Ushindi wao Wachezaji wao wote walienda Disco Kuruka Majoka na wengine kucheza Draft na Pool Table.

7. Nimefungwa na Timu ambayo Yenyewe pamoja na Mimi Simba SC tuna Heshima Kubwa mno CAF hasa Champions League ( CL ) na ndiyo kwa pamoja tupo katika Timu Kumi ( 10 ) Kubwa ( Bora ) ambazo hajiaanza hatua za Awali Kucheza CAF CL kama ilivyo kwa Zanaco FC au Rivers United FC.

Nikikutana au nikisikia kuna mwana Simba SC yoyote amechukizwa na Kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day leo kwa Mkapa si tu kwamba nitamdharau bali nitamuona ni Mpumbavu mno.

Nina uhakika Simba SC hata Kesho ikiomba Kucheza mechi za Kirafiki na Zanaco FC na Rivers United FC itazifunga zote Goli zaidi ya Tatu ( 3 ) ila kuna Timu nina uhakika ikijipendekeza tu kuomba Mechi ya Kirafiki na TP Mazembe kwa Mpira mkubwa wa TP Mazembe goli chache ambazo Timu hiyo itafungwa kwa Soka lake bovu bovu ni Kumi na Saba ( 17 )
 
Hivi GENTAMYCINE au Genta yuko wapi.
Mbona siku hizi haandiki sana humu.
Au kaenda Rwanda ?
 
Mimba ni mimba tu uwe ujauzito aliyekupa ni Mwanafunzi au Mwalimu wa chuo.
UMEMWAGISHWA MAJI.
Ova
 
Huyu anaweweseka na hang over ya kifirwo. Anajitahidi kuongea tu Ila Linda limetatukaa
 
1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC.

2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco FC au Rivers United FC...
Wewe ni bora ufunge bakuri lako tu bahati nzuri mpira unachezwa adharani kila mtu anaona, umecheza mpira gani wewe wa kuwalaza maxembe na viatu, shukrani mpeni manura ambae amewaokoa na kichapo cha mbwa mwizi, yaani mlivyokuwa mnajitapa mna timu Kali kumbe ni sawa na mtibwa iliyochangamka, mapengo ya chama na miksoni yatawatesa Sana nyie jana kila kitu kimeonekana, kazi mnayo safari hii
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom