Wapi naweza kuomba grant ya Tsh 500M kwa ajili ya project yangu?

Idrissou02

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
354
643
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.

Nasubiri muongozo wenu wakuu.
 
Ungeisema project husika ingekua rahisi mtu kukuambia wapi unaeza pata grant. Maana kila donor anasehem zake za interest, ila hapa umeacha every important detail in the dark.
 
Maelezo yako hayatoshelezi kumshawishi mtu atoe mil.500 mfuko wa shati akukabidhi
 
kwa tanzania hii zaidi ya wazazi wako na ndugu zako tu hakuna sehemu nyingine. fikiria huwa kuna pesa halimashauri za kusaidia maendeleo ya jamii lakini huwezi kuzipata huwa wanagawana tu wenyewe, SIDO hali kadharika.

sasisitiza tena wambie wazazi wako tu wakupe hiyo pesa.
 
Habarini wanaJF,
Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania.
Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake.

Nasubiri muongozo wenu wakuu.
Jaribu African Development Bank.
 
Kwa Tanzania hii hata ungekuwa na project ya laki tano ..sidhani kama ungepata maana bongo akili zetu tumekaa kupigwa muda wote
 
Back
Top Bottom