yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

    Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio picha yangu ya karne

    Hii picha inaongea mengi kuhusu Africa. Ina maana zaidi ya mia moja. Kila msomaji wa hii picha anaipa maelezo yake kulingana na mazingira na ufahamu wake.
  3. JamiiForums Tanzania Facebook wananitafuta visa na kutishia maisha account yangu

    habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf! Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao) Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

    Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za...
  6. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeipenda

    Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
  7. JamiiForums Tanzania Uswahilini kumeoza, ndugu yangu alizomewa mtaani kisa kakataa 'tigo'

    Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu. Sasa siku moja tulikuwa tunapita mtaa wa pili kwa mguu nikashituka kusikia wadada wawili watatu...
  8. JamiiForums Tanzania Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

    Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by...
  10. JamiiForums Tanzania Ingekuwa familia yangu nimeelekeza haibadiliki ningesema jinga kabisa nawawajibisha.

    Serikali isyoijali hali za wananchi wake ktk huduma mbalimbali kama umeme kukatika Kila mara,dawa hospitali tabu,mabilioni yanaibwa na watendaji wa serikali na serikali haichukiwi hatua ya kuwawajibisha wezi hao.pesa zinazoibiwa zingeweza kutumia ktk mambo ya maendeleo lakini tunajirudisha nyuma...
  11. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya: Ninaogea Maziwa ili kulinda ngozi yangu

    Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm. Nini maoni yako?
  12. JamiiForums Tanzania Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema: Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
  13. JamiiForums Tanzania Penzi langu

    Penzi langu Kama nikiyapa pesa, siku ikinisaliti? Sitaki kulipepesa, hii haitaji siti Sio yule wa madesa, kuyamwagiwa manoti Nimeridhi penzi langu, nalitoa kwa kalamu Nimliwazaji wangu, peke anayenisema Nimpaye tunu yangu, nikiwa nimeumia Ajua furaha yangu, hachoki kunisemea Nimeridhi penzi...
  14. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    Natumai wote hamjambo humu. Nina ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, hapo awali alikuwa ni mtu smart na mpambanaji wa maisha, sijui kitu gani kimemkuta, anakunywa pombe muda wote hata kazi ameacha kwa sababu ya pombe. Watu wengi wamenishauri nimpeleke sober house {Kwa kiswahili sijui...
  15. JamiiForums Tanzania Niokoe niiokoe familia yangu

    Habari za wakati huu? Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa. Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri: Jirani yangu anataka kuuza nyumba ili akatafute maisha Uingereza ni sawa?

    Wajuvi,wajuzi,wakulungwa na makontawa na matycoon mnaitwa huku mtoe ushauri. Nina jirani yangu huku Morogoro ni mmama wa makamo, alienda Dar kibiashara lakini katika pitapita zake amekutana na kampuni posta wanasaidia kuprocess watu kwenda nje. Sasa amepewa plan ya kuunganishwa kwenda UK...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natamani sana timu yangu ya Yanga ipangiwe Mamelod au Al Ahly

    Kutokana na ubora wa Yanga natamani kwenye hatua ya makundi ipangwe kucheza dhidi ya Mamelod sundown, Al Ahly au Raja casablanca. Tusipangiwe na vitimu vya Simba, Power dynamos au Bamako
  18. B

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

    Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto. Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto kweli ni lake kwa vigezo vyote. Ni jambo gani sahihi kwake anapaswa kufanya juu ya yule mwanamke...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza mashamba yangu Kisarawe (MASAKI) milioni 2 hadi 3 kwa heka

    Karibuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo. Namba 0627757086
  20. JamiiForums Tanzania Airtel wameniibia kamisheni yangu ya mwezi wa nane

    Mimi ni wakala na nina laini za uwakala za mitandao yote: Tigo, Voda, Halotel, na Airtel. Sasa, kwenye hizi laini, Airtel ndiyo wanaongoza kwa kunipa kamisheni kubwa. Hii ni kwa sababu huku kwetu kuna wateja wengi wa mtandao huu. Pia, nina laini za lipa kwa simu kwa mitandao ya Voda, Tigo, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…