Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,675
Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar...

Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by 2, yaani upande mmoja watu watatu upande Mwingine wanakaa wawili, gari chache sana ni 2 by 2 na tajiri ndio anapanga lini likae barabarani...

Kwenye Ili gari picha inaanza hakuna customer care yoyote ile nilikata ticket ya mbele Kufika asubuhi nikaambiwa nikakae nyuma huko vurugu ikaanzia hapa ikabidi huyo mtu wampeleke huko nyuma.

Watu wachache walikosa seat wakasimama kuanzia Stand ya Nyegezi nakumbuka stand yoote tulipopita kuanzia Sengerema, Geita, Katoro nk watu walikua wanaingia na kusimama.

Humo ndani ya gari yalikua yanauzwa mahindi, mihogo, karanga vitumbua, mayai yaani tulikua tunapakia Muda wote non stop, story zinapigwa sana mtu wa seat ya mbele anapiga story na rafiki yake aliye seat ya nyuma, kweli waha ni kiboko.

Kufika Nyakanazi kundi kubwa la watu liingia yaani waliosimama ni wengi saana kuliko tuliokaa, nafasi hata ya kugeuka pembeni hupati mabegi yetu wengine tukawa tumebeba kichwani imagine hupo ndani ya gari Lakini begi lako umebeba kichwani..

Barabara ya lami inaishia Kakonko kwa mbele tukaanza kula vumbi mpaka Kibondo, wazee nimefika Kibondo pale mwili wote unauma Mwili mzima shingo haifanyi kazi tena, nikawauliza wenyeji wakanambia safari ya Mwanza to Kibondo ni karibu kuliko Jibondo tu Kigoma mjini, yaani Kibondo ni wilaya ambayo ni kubwa kuitembea ni mwendo wa masaa 4/5 Kufika Kasulu....

Raha ya kusema unasafiri usiitegemee kama unakuja Kigoma panda gari Ili ufike na sio u-enjoy nature, safari iliendelea tukafika mjini Kigoma saa 3 usiku.

NB: KIGOMA ni mji ambao una manispaa moja na town council inayoitwa Kasulu... Kigoma wanaishi watu kama watu wa mikoa mingine, Lakini Kigoma watu wa huku Kigoma Wana amini mno mambo ya kishirikina sio mdogo au mkubwa...

Kigoma Ujiji inapatikana Kigoma mjini. Huko ndio kwao Hashim Rungwe, Baruani Muhuza, Juma Kaseja huko ndio mji ulipoanzia, ni ngome ya kiislamu Watu wa huko ni masikini mno pia Kuna waganga wengi sana na mambo ya kichawi ni mengi mno, kukuta vyungu vimepasuliwa njia panda ni jambo la kawaida HAKUNA MTUMISHI YOYOTE WA SERIKALI ANAEKAA KIGOMA UJIJI, huko Hadi watoto wanajua uchawi ni nini kwenda kwa mganga ni jambo la kawaida.....huku Kigoma Ujiji harusi ni Kila siku huwezi pitisha siku hakuna harusi maisha magumu nyumba za udongo Lakini ni waswahili balaa, huko Ujiji maduka yanayokodisha mziki yanafika 40.

PALE KIGOMA MJINI.....ni center ndogo ya Kibiashara Lakini hakuna mzunguko wowote wa Hela Hapo wenyeji ni wengi na wengi wanauza kwa madawa usitegemee wa kuja ukafungua duka huku utapigwa zengwe mpaka uone moto.

Huu ni mji wa kinafiki, watu wanaishi kinafiki kinafiki saana, mvua zikinyesha unaomba Mungu radi zinapiga vibaya mno tena Kwa sauti kubwa sana.
 
Safari yangu ilianzia Mwanza to kigoma, then kigoma to dar...

Saa 12 asubuhi nilifika stand ya nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by 2, yaani upande mmoja watu watatu upande Mwingine wanakaa wawili, gari chache sana ni 2 by 2 na tajiri ndio anapanga lini likae barabarani...

Kwenye Ili gari picha inaanza hakuna customer care yoyote Ile nilikata ticket ya mbele Kufika asubuhi nikaambiwa nikakae nyuma huko vurugu ikaanzia hapa ikabidi huyo mtu wampeleke huko nyuma.

Watu wachache walikosa seat wakasimama kuanzia Stand ya nyegezi nakumbuka stand yoote tulipopita kuanzia sengerema, geita, katoro nk watu walikua wanaingia na kusimama.

Humo ndani ya gari yalikua yanauzwa mahindi, mihogo, karanga vitumbua , mayai yaani tulikua tunapakia Muda wote non stop, story zinapigwa sana mtu wa seat ya mbele anapiga story na rafiki yake aliye seat ya nyuma, kweli waha ni kiboko.

Kufika nyakanazi kundi kubwa la watu liingia yaani waliosimama ni wengi saana kuliko tuliokaa, nafasi hata ya kugeuka pembeni hupati mabag yetu wengine tukawa tumebeba kichwani imagine hupo ndani ya gari Lakini bag lako umebeba kichwani..

Barabara ya lami inaishia kakonko kwa mbele tukaanza kula vumbi mpaka kibondo, wazee nimefika kibondo pale mwili wote unauma Mwili mzima shingo haifanyi kazi tena, nikawauliza wenyeji wakanambia safari ya Mwanza to kibondo ni karibu kuliko kibondo tu kigoma mjini, yaani kibondo ni wilaya ambayo ni kubwa kuitembea ni mwendo wa masaa 4/5 Kufika kasulu....

Raha ya kusema unasafiri usiitegemee kama unakuja kigoma panda gari Ili ufike na sio u-enjoy nature, safari iliendelea tukafika mjini kigoma saa 3 usiku.

NB: KIGOMA ni mji ambao una manispaa moja na town council inayoitwa Kasulu...kigoma wanaishi watu kama watu wa mikoa mingine, Lakini kigoma watu wa huku kigoma Wana amini mno mambo ya kishirikina sio mdogo au mkubwa...

Kigoma ujiji inapatikana kigoma mjini. Huko ndio kwao Hashim rungwe, baruhani muhuza, juma kaseja huko ndio mji ulipoanzia, ni ngome ya kiislamu Watu wa huko ni masikini mno pia Kuna waganga wengi sana na mambo ya kichawi ni mengi mno, kukuta vyungu vimepasuliwa njia panda ni jambo la kawaida HAKUNA MTUMISHI YOYOTE WA SERIKALI ANAEKAA KIGOMA UJIJI, huko Hadi watoto wanajua uchawi ni nini kwenda kwa mganga ni jambo la kawaida.....

Unavyomfahamu Zito Kabwe na Kigoma iko hivyo hivyo.
 
Yaani wewe kufika leo tu tayari umeshayajua yote hayo? Utakuwa kambea wewe!
 
mtu wa seat ya mbele anapiga story na rafiki yake aliye seat ya nyuma, kweli waha ni kiboko.
Kuna mwana wa huko napiga nae job hapa jijini Dom aisee ana sifa zote ulizotaja hapo;
1. Akiongea sasa si kwa simu au tete a tete na mtu anapiga makelele as if anaongea na mtu wa meter 30,
2. Ana unafiki balaa, mbinafsi na anapenda uchawa balaa akiingia kwa boss yy ni kupiga majungu wenzie na kujifagilia yeye!
 
Tunaendelea na sifa za kigoma....

Ikifika kigoma usiondoke bila kwenda Manyovu mnanira huko wanapatikana watoto wazuri wa Kirundi yaani watusi flani amazing watoto wazuri kweli kweli, Lakini usishangae ukakaa mwaka mzima bila kupata mbususu huku yani watoto sio wazuri kabisa alafu kupewa mbususu mpaka ulie saaana yani mpaka akuonee huruma mno tofauti na huko daresalam.

Mwanamke yeyoye ukimtongoza huku lazima akwambie uende nyumbani kwao wakuone sehemu za mbususu zinazojiuza zipo Kuna sehemu wanapaita kwa Mchanga Lakini mademu wa pale woote ni wabaya yaani wanasura za baba zao, Wala hutoshtuka kwa jambo lolote lile,

Beach zipo Lakini hutoona hata upaja wasichana wa huku wanaogelea Huu wamevaa nguo zote......
 
Attachments

  • Screenshot_20230813-161734.png
    Screenshot_20230813-161734.png
    194.4 KB · Views: 31
Kuna mwana wa huko napiga nae job hapa mjini aisee ana sifa zote ulizotaja hapo;
1. Akiongea sasa si kwa simu au tete a tete na mtu anapiga makelele as if anaongea na mtu wa meter 30,
2. Ana unafiki balaa na anapenda uchawa balaa akiingia kwa boss yy ni kupiga majubgu wenzie tu!
Kwenye mqjungu ndio nyumbani kwao mzee
 
Niliendaga kasulu bhana kipindi hicho hapakuwa lami maeneo ya nyumba za shirika,Kwanza wakat natoka dar mama alinipanga ni pazur dar ikasome mmmhh🤔🤔🤔🤔,kwakuwa na penda Mambo ya sehemu nzur zenye bustan za mauwa na matunda akil ikasoma patakuwa Kama (uturuki).Nyie ile nimefika kasulu Kwanza ilibid niulize ndio hapa dooh,🙄🙄🙄naambiwa ndio tena mjin 😲😲😲😲.Machoz mbona yalianza kunitoka hapo na mtaan niliondoka kwa bwebwee 😭😭😭,usista duuu wote uloniishia Rasta zote vumbi,ctak hate kukumbuka mm.
 
Back
Top Bottom