Irene Uwoya: Ninaogea Maziwa ili kulinda ngozi yangu

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Mwigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya anasema huwa anaogea maziwa ili aweze kulinda na kutunza ngozi yake ili iendelee kuwa na mvuto. Ameyasema hayo akiwa kituo cha radio cha Clouds Fm.
Nini maoni yako?
IMG_8011.jpeg
 
Tatizo watu mnaponda....

Tujiulize kama hichi kitu scientifically ni kweli... kuogea maziwa sio issue... kama maziwa lita 1800 huku nilipo, lita 10 kwa siku ni 18,000 kwa mwezi ni 480,000 kwa mwaka ni kama 5 million.

Kama kweli ina benefits kiafya, basi madaktari waje hapa, kutoa ufafanuzi...

Inawezekana wengine tukafanya hivo pia walau kwa wiki mara moja kama tiba

By the way nimeweza ku google kidogo

Screenshot_20230920-202334_Chrome.jpg

Mjini maziwa lita 2,500/=
Mwanamke aoge ndoo ndogo ya 10L?

Sema hapa sidhani kama kuna ukweli. Pili hajawa specific maziwa ya kopo (unga), ya mtindi, ya ng'ombe au ya mbuzi?
 
Mjini maziwa lita 2,500/=
Mwanamke aoge ndoo ndogo ya 10L?

Sema hapa sidhani kama kuna ukweli. Pili hajawa specific maziwa ya kopo (unga), ya mtindi, ya ng'ombe au ya mbuzi?
Inaweza kuwa kama tiba, mtu unaogea hivo kwa wiki mara 2... kama watu wanatumia perfume za hadi laki tano.. kuweka bajeti ya laki mbili ya maziwa kwa mwezi sio issue kihivo, kwa watu ambao wamewekeza kwenye urembo kama yeye.

Asa kama hobby yake ni urembo maana yake ndo maana anafanya vitu kama hivo... kuna watu hobby yao ni ulebi na wanakunywa kila siku zaidi ya 15,000 asa huyu ana tofauti gani na anayeogea maziwa lita tano kila siku???
 
Back
Top Bottom