Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Sasa ni dhahiri kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshtakiwa kwa makosa ya jinai. Amefikishwa Mahakamani huko Arusha na kusomewa mashtaka sita. Ninaandika hapa nikiamini kuwa mashtaka ya Ole Sabaya bado ni tuhuma tu hadi pale yatakapothibitishwa...
Awamu ya Nyerere
Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana.
Awamu ya Mwinyi
Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo wanalima sana ndizi kama Moshi, Bukoba na Tukuyu kujua aina za ndizi na matumizi yake na namna ya...
Habar zenu
Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa
Nahitaji sana hiyo email yang kwa mda huu
Msaada wenu tafadhali
OFFICIALLY NOW ON TV& RADIO.
Thanks almighty God, all my audios and Videos songs now have Copyright under ISRC(International Standard Recording Code) and can be Played anywhere all over the World and I can sell anywhere all over the World. Now I have my own Registrant code number. Join with me...
Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia.
Tafadhali upesi sana Simba SC...
MAMA HAYA NDIYO NILIYOJIFUNZA HUKO CHUONI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
"Mama nashukuru kwa kuja kwenye mahafali yangu, nimefurahishwa sana na ujio wako ingawaje nilitamani Baba pamoja na ndugu zangu nao wangekuwepo, lakini haikuwa hivyo, nafahamu sisi ni masikini tena fukara wenye hasara ya...
Ni miaka 12 sasa, huyu mwali tulikutana kwenye usahili katika moja ya makampuni makubwa yaliyowekeza Tanzania.
Kwa bashasha tulitokea kuelewana na tukafahamiana ndani ya muda mfupi, na vijana wana msemo kwamba binti alinielewa baada ya kuonesha kumjali kwa mambo kadhaa.
Baada ya usahili...
Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
Shabbati Shalom from Jerusalem,
Brethren, nikiwa natembea hapa Temple Mount mahala lilipokuwa hekalu lililojengwa na Mfalme Solomon wa Israel yapata miaka 3000 iliyopita kabla ya kubomolewa na wababiloni, kujengwa, kisha kubomolewa tena na Warumi miaka kadhaa baada ya Yesu Kristo kupaa. Kwa...
" Ili CHADEMA tuwaamini kuwa AGENDA yao ya Kudai Katiba Mpya ina Mashiko na wana Hoja ya Msingi hebu wao kama Chama waanze Kwanza kuonyesha kuwa wanaheshimu Katiba ndani ya Chama chao ambapo kuna uvunjifu mkubwa tu wa Katiba " Pascal Mayalla
Nukuu hii nimeitoa baada ya Kumsikia na Kumtizama...
Habari wadau..!
Dunia imejaa dhulma na chuki sana kama haujawahi kuua ipo siku utatamani kuua kama vile ngamia ayatamanivyo maji jangwani.
Kuna kipindi nilinunua kiwanja changu kule Kibaha kwa hela za kuunga unga ila karibu yangu alikuwapo kigogo mmoja wa TRA ambaye jirani yangu.
Hauwezi...
Ni kawaida kukosea kwa mtu yyt.kwangu mm nikikosea naumia sana. Ikiwa nimefanya jambo nikakosea nikiwa ni mwenyewe na give up. Napotezea, Gharama nabeba mwenyewe.. katika Jamii ikiwa kosa limetokana na 3330 napata mateso makuu ......mods tafadhali nirekebishie.. title kuumia sio kutumia...
Unakuta Kipindi fulani ni cha ama dakika 30 au Saa Moja tu lakini Watangazaji wake wote Watano wanataka Kuonesha Umahiri wao katika Kupiga Stori na hapo hapo tena Matangazo ya Biashara yanafululiza na Content husika iliyokufanya usikilize hicho Kipindi unakuja kuipata ndani ya dakika 5 tu...
Mara nyingi huwa napiga mashati ya vitenge na chini namaliza kwa suruali la kitambaa. Matenge ya kijani na rangi ya njano nayakubali na chini suruali ya darka blue.
Sometimes nagonga kaunda suti na mokasini za kisasa. Mkononi huwa sikosi magazeti, kwa siku nanunua magazeti kama matano...
Safari imeanzia kwenye Office za Mabasi ya Allys Star pale Shekhe Kilango. Tumetoka saa 11:40 kuelekea Mbezi Stand tukachukua Abiria na kuanza safari.
Gari nmejaribu kuangaza angaza ndani kumependeza. Wapo warembo wa kutosha na watu wengi nawaona wana bashasha.
Tumefika sehemu Morog kufukia...
Mambo vp jamiiforums
Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo.
Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema...
Taaluma yangu ni mwalimu, Sina ajira lkn naipenda kazi yangu Sana, Nina wazo la kufungua tuition na nursery School ambayo nitahitaji kufundisha kwa kutumia projector, ila nashindwa mtu wa kunisupport,
NAHITAJI support,
Contact,
Email. wilsonmwamakalapya@gmail.com
Whatsup: +25576736103
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.