Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 765
- 1,670
habari zenu ndugu zangu wa ukoo wa jf!
Facebook sasa naona visa haviishi, mimi siwaelewi
Juzi kati hapa walifunga account yangu wakidai kwamba waliona shughuli isiyokuwa ya kawaida kwenye account yangu (kwa mujibu wa maelezo yao)
Nikasema hivyo tu, nikarudisha akaunti yangu nikatembelea settings, nikachange namba ya siri, namba ya simu nk
Haya; jana usiku wakati nazurula zangu mitandaoni nikapita huko telegram nikaona picha fulani hivi za wadada wako kiuchi uchi (wanaojiuza), nikala kona nikarudi home street (jf) mpaka nilipopitiwa usingizi.
Sasa leo mida ya chai nawasha data, moja wapo ya notification s zilizoingia ni kutoka facebook ati "we removed some of your content" kufungua hivi, nakutana na zile picha za telegram 🤔🤔
aisee nimetokwa jasho wewe!!
Tangu jana usiku huo hakuna mtu aliegusa simu yangu na nina uhakika mkubwa hakuna anaedukua simu yangu,wala hakuna mwingine anatumia simu wala akaunti yangu ispokuwa ni hawa hawa facebook wenyewe 😡
wananitisha kwamba watafunga akaunti yangu, sasa mimi nawapiga chini na akaunti nafuta kabla hawajaifunga. Watakuja kunidhalilisha hawa!!