Niokoe niiokoe familia yangu

wake up

Member
Sep 18, 2023
11
25
Habari za wakati huu?

Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa.

Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi, nina miaka 35 nina ishi Dar nina familia ya mke mmoja wa ndoa na watoto 2 maisha yalikuwa sawa tu hadi mwanzoni mwa mwaka jana baada ya kibarua changu kukoma kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Ninapitia changamoto nyingi kwa sasa mbaya zaidi nina familia akiba niliyoweka kipindi nafanya kazi imekata maan ndio tuliyokuwa tunaitegemea kutuendesha na vibiashara vya hapa na pale vimechangia kutufilisi kabisa ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisupport nipate kufanya kazi ili niweze kumudu maisha na familia na hata kama ni kwa muda nitashukuru sana kwa sasa hali yangu sio nzuri kabisa.

Professional yangu administration management. Kazi ninazoweza kufanya. Kazi zozote za sale and marketing, kazi za data, kazi za usimamizi.

Nitashukur km mtanipatia ushirikiano mm naahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa yoyote atayenisaidia sitamwangusha. Tafadhali nisaidieni niweze kuilinda hii familia yangu.
 
Naomba nikupe ushauri. Usichague kazi wala usiangalie sana professional yako Kwa wakati huu. Fanya kazi yoyote inayokuja mbele yako ilimradi tu iwe halali.

Muhimu muombe sana Mungu na usiwe na mategemeo ya haraka kurudi katika maisha kama uliyokua unaishi hapo mwanzo.

Unaweza kuanza na kazi za ulinzi ambazo hutangazwa mara Kwa mara. Goodluck
 
Habari za wakati huu?

Niende moja kwa moja kwenye jambo langu kwanza nikiri kwamba mm sio mgeni humu Jf ni member kwa miaka zaidi ya 8 na id yangu inafahamika ndio maan nimeona ili niwe huru zaidi nitumie id mpya kabisa.

Jamani sababu iliyonileta kwenu ni kuomba ushauri na msaada hasa wa kazi, nina miaka 35 nina ishi dar nina familia ya mke mmoja wa ndoa na watoto 2 maisha yalikuwa sawa tu hadi mwanzoni mwa mwaka jana baada ya kibarua changu kukoma kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.

Ninapitia changamoto nyingi kwa sasa mbaya zaidi nina familia akiba niliyoweka kipindi nafanya kazi imekata maan ndio tuliyokuwa tunaitegemea kutuendesha na vibiashara vya hapa na pale vimechangia kutufilisi kabisa ombi langu kwenu kwa yoyote mwenye uwezo wa kunisupport nipate kufanya kazi ili niweze kumudu maisha na familia na hata kama ni kwa muda nitashukuru sana kwa sasa hali yangu sio nzuri kabisa.

Professional yangu administration management. Kazi ninazoweza kufanya. Kazi zozote za sale and marketing, kazi za data, kazi za usimamizi.

Nitashukur km mtanipatia ushirikiano mm naahidi kuwa mwaminifu na mkweli kwa yoyote atayenisaidia sitamwangusha. Tafadhali nisaidieni niweze kuilinda hii familia yangu.
Mungu akutane na hitaji la moyo wako.

#YNWA
 
I feel you bro, nimepitia changamoto kama hiyo.
Cha msingi usi loose focus mkuu, kuwa positive tu kwenye magumu unayopitia, kwani hiyo ndo turning point yako ya kuinuka ama kudondoka.

Mtangulize Mungu, pia iamini akili yako mkuu.
Nakuombea kila lenye kheri.
 
Cha kwanza hama dar,

Saivi ni msimu wa kilimo ingia mikoa yenye uhakika wa mavuno na mashamba ya kuazima au ya kwenu , Lima , Fuga kuku n.k

Baada ya miezi mitatu utaanza kuona mabadiliko ,

I hate dsm , nalijua Hilo Jiji kiongozi naelewa nachokushauri Hilo Jiji halifai na sitaki kulisikia hapo wanatakiwa kuishi watu waliojiwekeza Haswa au viongozi wenye uhakika wa maokoto nje na mshahara, hata ukipata mshahara wa 1.2milion na hio familia yako bado haitoshi

Mimi ni mwal. Nimebakiwa na 200k kwenye mshahara na Nina familia lakini akili ninayoitumia kusaka maokoto nje na mshahara ni kubwa mno

Nilivyosikia tu kuwa upo Dar nikajua tatizo limeanzia hapo

Ifike point usimsikilize mke fanya kitu unachoona ni sahihi kwako kuokoa familia

I'm done
 
Back
Top Bottom