Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa design yangu ya chupa za plastiki?

Wapi naweza pata huduma ya kutengenezewa aina ya chupa za plastiki design ninayoitaji mwenyewe?
sina hakika sana lkn ipo hiv:
1.Tengeneza mchoro wa chupa unayotaka wewe. hii rahisi sana
2.Peleka kwnye kiwanda kinachoweza kukuchongea mold au umbo la hiyo chupa. Hii sidhan kama TZ tunaweza ila china.
3.Ukipata mold nadhan viwanda vyetu hapa bongo wanaweza kutumia hiyo mold kukutengenezea hiyo chupa yenyewe lkn na amini watakutaka uwe na uwezo wa kuzalisha chupa nyingi kwa mara moja.
 
Uzi ufungwe jamaa ameshamaliza kila kitu.
Anyway ukihitaji kununua mashine za kutengeneza chupa za bei rahisi utanicheki whatsapp +971527794329

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
sina hakika sana lkn ipo hiv:
1.Tengeneza mchoro wa chupa unayotaka wewe. hii rahisi sana
2.Peleka kwnye kiwanda kinachoweza kukuchongea mold au umbo la hiyo chupa. Hii sidhan kama TZ tunaweza ila china.
3.Ukipata mold nadhan viwanda vyetu hapa bongo wanaweza kutumia hiyo mold kukutengenezea hiyo chupa yenyewe lkn na amini watakutaka uwe na uwezo wa kuzalisha chupa nyingi kwa mara moja.
Thanks
 
Kiwandani kama unataka mould yako,unalipia kiasi fulani ni pesa ndefu sikumbuki walituambia kiasi gani,na hio sample sasa inaenda kuchongwa kule kiwanda kilichozalisha hizo mashine za kutengeneza chupa.Make lazima wao ndio watengeneze hio mould ili ifiti kwenye mashine zao.Ila sio chini ya miezi 3 hadi 6 kungoja
 
Njoo Mbezi Beach ya Makonde, pale Shamo ulizia hizo mambo wanafanya sana. Ukikosa Shamo sogea kiwanda kinachofuata hapo jirani
 
Niliwahi fatilia huduma hiyo for future use
Hapa viwanda vipo vingi Kuna tridea na polypet wote wanatoa huduma hiyo Ila utahitajika uwe na mold kwa kipindi kile ilikuwa Kama 5m hivi mold niliyokuwa na hitaji na hii ni kutengenezea Tanzania
Na south ilikuja Kama 4m na India was 3m nikaja kupata flan wakiwanda Cha vifungashio nae akanielekeza kwa mtu India pia

So tembelea tridea na polypet au smile wataku connect na wachonga mold

Unataka kwa ajili ya nini?
Naweza kushauri jambo maana ndo sekta yangu
 
Wapi naweza kupata chupa za aluminium kwa ajili ya spray? ujazo wa kuanzia 100ml mpaka 250 ml
 
Hapo mkuu nenda china au Nairobi au south Africa

Kwa Tz hakuna materials za kutengeneza hizo kopo nadhan hawajaleta kwakuwa demand ya kopo hizo ni Chache na kwakuwa unataka kuanza biashara nashauri tafuta supplier china
 
Huo mtihani. Itabidi nitumie plastic tu
 
Back
Top Bottom