Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 1,709
- 5,697
Habarini
Natumia simu ya itel A05 mpya tu haina hata mwaka, laini ya voda nayo ni mpya haina mwaka, hili tatizo limeanza juzi, mb nakuwa nazo tena zaidi ya 800, ila nikiwasha mobile data sipati chochote, sasa najiuliza hili tatizo ni kwangu kwenye simu yangu, au ni watoa huduma wa voda Wana matatizo.
Cha ajabu hili tatizo linakuja na kupotea lenyewe bila kulitaftia ufumbuzi, saa ingine mobile data inafanya kazi, saa ingine haifanyi kazi, hata kama una MB, sasa inakuwa ni kero maana mb unakuwa nazo hlf haziko reliable, na mda wa kifurushi unaendelea kuisha.
Hapa natumia wifi ya mtu mwingine ku-browse jf, waliokwisha kutana na hili tatizo ufumbuzi wake ni nini?