Namuonea huruma binti yangu, sijui ataolewa na kijana wa aina gani

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,099
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
 
Kweli mabinti wa kizazi hiki wana kazi kubwa sana.

Tatizo na wao wanaolewa utamu umeisha. Na uwezo wa kuzaa umeisha.

Huyo binti yako unaemuonea huruma ashakunywa P2 caton kazaa. Na ashakaa mikao ya kila aina anapigwa miti na maboyfriend. Yaani hapaswi kuonewa huruma
 
Haya ndo matatizo ya Sera za usawa wa jinsia...
Upande mmoja mnataka usawa..
Halafu upande mwingine mnataka wanaume wabebe mzigo wote...
Chagueni kimoja...
Mkitaka usawa na Haki Sawa basi na gharama zake mbebe..
Au mkubali mwanaume awe mwanaume africanyway agharamie kila kitu....na asiulizwe ulizwe kama mahusiano ya kizungu yanayotaka usawa...
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekua na wivu kama wake wenza, yani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda polini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na m$** inatosha kua mwanaume
Huo muda wa kumchagulia mume binti yako ungeutumia kumfungulia kampuni na kumsaidia apate tender kubwakubwa ili ajitegemee kiuchumi ili asiwe ombaomba kama wewe na kusaida kutokomeza ufukara uliokithiri huko kwenu.
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
unajua mimi hiyo 50/50 yenu huwa siielewi mnakuwaga mnamaanisha nini?

Basi mwanao mkuze akijua kwamba kuwa 50/50 na mwanaume sio sawa
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
mwoe mwenyewe mkuu maana ww sifa hizo umepass kwa upper first class.
 
Vijana wa kiume wanazidi kuchanganyikiwa,
1. Wabahili
2. Wanapenda mtelemko
3. Wanalishana ujinga sana
4. Hawana hofu ya Mungu

Wamekuwa na wivu kama wake wenza, yaani mwanaume anataka mke achangie kibapo, bado awe romantik na apendeze, how is that possible?

Vidume vya zamani vinaenda porini usiku kucha kukimbiza swala wanarudi wanamkabith mke anarekebisha mambo yanaenda. Sasa naona hawa wa sasa wanataka waende polini kukimbiza swala na wake zao.

Kinachofuata nitamsaidia kumtafutia bwana binti yangu, bila hivyo atakutana na hawa mazuzu wabahili, wanaodhani kua na uume inatosha kuwa mwanaume
Na wenye watoto wa kiume wanawaonea huruma vijana wao sijui wataoa wanawake wa namna gani ambao mmewalea hata kuoka hawajui wanatamabi maisha ya insta wakati wote...
Hiki kizazi si jinsia ya kiume, si ya kike wote wakuonea huruma
 
Back
Top Bottom