CCTV camera moja ya cable inauzwa shilingi ngapi

Sundii

Member
May 6, 2020
27
31
Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika.

Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
 
Back
Top Bottom