yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    Kwanza nawashukuru sana watu wote mlionishauri, kunikosoa, kunikejeli na kunielimisha kwenye andiko langu la " NAOMBA KUSHAURIWA, KUELIMISHWA NA KUKOSOLEWA" asanteni sana. Pili napenda kusema kutoka moyoni kwamba nimeamini na nina imani kuwa wafrika itatuchukua miaka mingi sana...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri na mapendekezo yangu kwa Serikali, TCU na wizara ya elimu

    Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada. Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika. Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una...
  3. JamiiForums Tanzania Experience yangu na wanawake wanaoitwa jina Flora

    Akina Flora wengi wanakuwaga wapiganaji sana kwenye maisha. Wengi wanakuwaga smart sana kwenye mapambano ya maisha. Na wengi wao huwa wanafanikiwa sana kiuchumi. Sijawahi kumfahamu mwanamke anae itwa Flora ambae sio mpiganaji kwenye maisha.
  4. JamiiForums Tanzania Fikra yangu sio dini yangu

    Katika maisha ya kawaida jamii inakuwa na watu wa kila tabia na tabia ndio zinazoweza kuitambulisha jamii husika Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam alianzisha kampeni yake yakupambana na wamiliki wa Madangulo katika viunga vya jiji la Dar Kwa hulka za waungwana ni kweli ukahaba sio...
  5. JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Pamoja na mambo yote kuhusu Krismas, leo ni siku na tarehe ya kuzaliwa kwangu. Namshukuru Mungu kwa baraka na uzima kwa kuniongezea mwaka mwingine katika maisha yangu, daima nitamshukuru...
  6. JamiiForums Tanzania Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fangasi zinateketeza sehemu zangu za siri kwa kasi sana

    Wakuu, Ni muda sasa kumekuwa na fangasi kwenye pumbu zangu lakini sikuchukulia serious , kila nilipofatilia naambiwa ni usafi tu , basi naongeza usafi na precaution zingine huku maisha yakiendelea. Nimeishia nayo kama miaka sita hivi. Rate ya kueneaa kwake ilikuwa ndogo tu lakini kilichonistua...
  8. JamiiForums Tanzania Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  9. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini kushindwa kuowa kwa binamu yangu ilikuwa ni faraja kwa mama yake mzazi (shangazi)

    Habari zenu wakuu, kuna jambo lilikuwa likiniacha njia panda sana, Kuna binamu yangu umri wake kwa sasa ni 33 to 34 hajaowa mpaka sasa na amekuwa akipambana kujiweka sawa kiuchumi na huku akitafuta mwenza wa maisha yake. Baba yake mzazi amekuwa akimshauri mwanae umri umekwenda na muda...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni matumaini yangu katika Maombi yako 12 uliyoyaandika kwa Mtume Mwamposa, haya Muhimu hukuyasahau

    1. Mungu wa Mwaposa nisaidie Makonda nisiwe na Kiherere. 2. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nisiwe Jeuri kwa Wakubwa zangu 3. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nikamwombe Radhi Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba baada ya Kumpiga na Kumkata Mtama Kipopoma. 4. Mungu wa Mwamposa nisaidie...
  12. JamiiForums Tanzania Anasema "Nakupenda kama kaka yangu", nikimuita tukutane anakuja and returns my calls. Shida ni nini?

    ...
  13. JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  14. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Vision Board inaweza kufanya upate kila kunachokiweka, 90% niliyoyaandika mwaka huu yametimia

    Vision board ni nini? Vision board ni mkusanyiko wa picha na michoro inayo represent dreams zako au mipango yako. Kwa mfano una ndoto za kwenda kusoma Havard,basi utachukua picha ya Havard utachukua na picha yako utafanya Photoshop inayo depict picha yako ukiwa Havard au unaweza kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Chama ndiye anayestahili kucheza namba 10 na sio Ntibanzonkiza!

    Ntibanzonkiza ukimwangalia kwa jicho la ndani Hana msaada kwa Simba kwa namba 10 anayocheza, hivyo anampa wakati mgumu Baleke kupata mipira kazi za kumpa mipira Baleke anaiweza Chama only! Ntibanzonkiza anafanya sana back pass na akiwa na mpira kwenda golini ni rahisi Sana kupoteza hivyo kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yangu tukufu mnayajua magumu wanayopitia Watumishi wa Halmashauri

    Juzi nilimsikia Waziri wa Tamisemi akisisitiza watumishi wapya walipwe stahiki zao ikiwepo pesa ya kujikimu. Mpaka sasa halmashauri kadhaa hazijafanya hivyo, najiuliza sana hayo matamko ya viongozi wana monitor vipi, kuhakikisha yanatekelezwa? Imagine unaripoti Halmashauri X kutoka mkoa wako...
  17. JamiiForums Tanzania msaada kwenye blog yangu jambo hili linanichanganya

    Habari zenu wanajamvii, Mimi ni blogger mchanga, namiliki blog yangu hii www.binruwehy.co.tz kwaajili ya habari za michezo lakini ninashangazwa na jambo hili kwenye upande wa views kuna wakati nilikuwa natumia template fulani inaitwa korve ka siku nimekuwa nikipata views elfu 20 mpaka 50...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi NSSF

    Naombeni ushauri mwajiri wangu amegoma kunisainia fomu yangu ya uzazi kwa ajili ya mafao ya uzazi Nssf kwa sababu hajapeleka michango yangu kwa muda, naombeni ushauri hatua za kufanya. Nilienda NSSF wanisaidie wakaniambia nirudi kwa mwajiri, sasa sijapata msaada na muda wa mafao ya uzazi...
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha...
  20. C

    JamiiForums Tanzania My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…