Ndugu yangu ana C mbili na D tatu ila ana division 4 form four, ataweza kwenda advance ya hata private?

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,627
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.

Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.

Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
 
Hawezi kuingia kigezo ni c3 tu.
 
Anaenda advance ikiwa ana point 10 kwenye masomo ya combination. Chini ya hapo mpeleke diploma
 
Ahaaa yeye hapo kaniambia Kiswahili ana C, History ana C, na English ana D

Maana yake hapo HKL si imeshakuwa point 10?

Of which anaweza qualify si ndio
Hapo amequalify, ila kabla ya kwenda muulize kama ameridhia. Isijekuwa hataki advance ila unamlazimisha. Kama anataka chuo mpeleke chuo, ila Kwa comb za arts ni rahisi kufaulu Kwa advance kushinda science.
 
Ha
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.

Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.

Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Hawezi kwenda Form Five...
Kigezo chs Form Five ni kuwa na C tatu...
Kigezo cha chuo Kwa kuwa huyo ni Arts basi ni kuwa na D nne isipokuwa masomo ya Dini..

Kwa maelezo hayo option ya ndugu yako ni kumgharamia kumpeleka chuo ngazi ya Certificate ya mwaka mmoja kwenye kozi ambayo wewe utaona ina manufaa mbele akimaliza...
Na kama angekuwa ana D nne ikiwemo masomo ya sayansi basi angeweza kusoma Diploma za Afya Kwa miaka mitatu...
 
Advance ni nini na hkl hizi mkuu?, Mtafutie kijana elimu ya ufundi itakayompatia ajira binafs ya kudumu isiyosubiri hisani ya wanasiasa. Vijana wapo mtaani wanajuta kwenda advance na vyuo vikuu...
 
Aisee kuna huyu ndugu yangu mtoto wa mjomba alimaliza form four mwaka jana sasa alipata division four.

Ila ana C mbili na D tatu, nipo naulizia kama zinaweza kumtosha kwenda form five hata ya private, nataka kujitolea niwekeze kwake hata aweze kusoma kama ataweza kwenda form five.

Kingine kama itawezekana, nataka akajiunge na shule ya Bondeni Arusha, kwa wanaofahamu hivi ada ya hii shule inaweza kuwa pesa ngapi kwa form five na six?
Msilazimishe mtoto kusoma njia hiyo iliyozoeleka hata kama uwezo wake ni wa kusukuma...! Je, mtoto hana kipaji au kitu anachokipenda nje ya masomo hayo formal? Vitu kama ufundi, udereva, urembo, etc.
Anaweza kwenda kupiga kozi za ufundi magari VETA (kama ana passion hiyo), na baada ya hapo akapiga kazi garage, na akaendelea vizuri tuu, hadi baada ya miaka akija kukutana na classmates wake wakiwa ndo wanamaliza chuo, yeye anakua keshapiga hatua kubwa ya maisha!!
Hayo matokeo aliyoyapata ndo akili yake (kichwa chake kizito kwa masomo ya darasani), au ni bahati mbaya tu imetokea?
Kuna ndugu yangu mmoja yeye shule kwake ulikua ni mzigo mzito, hata form four alifika kwa 'mbinde' sana, na akapiga four. Wazazi wake wakawa wana force kingi arudie mitihani. Meanwhile, jamaa alikua na kipaji na mapenzi makubwa na masuala ya udereva na ufundi magari, jamaa alijifundisha kuendesha magari na kutengeneza akiwa tu kitaa huku anasoma, bila kwenda chuo chochote cha ufundi.
Nikawa nimeombwa ushauri na wazazi wake na kuambiwa niongee na dogo kum convince arudie pepa. Nilipoongea nae, nikaona kabisa huyu path ya shule formal sio njia yake. Nikawashawishi sana wazazi wake wampeleke VETA asomee udereva na ufundi magari. Wakakubali, akaenda VETA dogo kusomea rasmi udereva wa magari ya kawaida, na udereva wa magari makubwa, akapiga na course ya VIP. Kisha akapiga na course ya ufundi magari.
The rest is history, sasa hivi jamaa anafanya kazi kama dereva shirika fulani, zaidi ya miaka 10 sasa, analisha familia yake, amejenga na ana biashara zake mjini.
 
Asante mkuu nitalifanyia kazi
 
Ukonga Skillful nilisikia wanapiga Promo wanampokea hata akiwa na C moja kwa hio muelekeze huko kuna wenzie walienda wametoboa sasa hivi wapo vyuoni
 
Msilazimishe mtoto kusoma njia hiyo iliyozoeleka hata kama uwezo wake ni wa kusukuma...! Je, mtoto hana kipaji au kitu anachokipenda nje ya masomo hayo formal? Vitu kama ufundi, udereva, urembo, etc.
Anaweza kwenda kupiga kozi za ufundi magari VETA (kama ana passion hiyo), na baada ya hapo akapiga kazi garage, na akaendelea vizuri tuu, hadi baada ya miaka akija kukutana na classmates wake wakiwa ndo wanamaliza chuo, yeye anakua keshapiga hatua kubwa ya maisha!!
Hayo matokeo aliyoyapata ndo akili yake (kichwa chake kizito kwa masomo ya darasani), au ni bahati mbaya tu imetokea?
Kuna ndugu yangu mmoja yeye shule kwake ulikua ni mzigo mzito, hata form four alifika kwa 'mbinde' sana, na akapiga four. Wazazi wake wakawa wana force kingi arudie mitihani. Meanwhile, jamaa alikua na kipaji na mapenzi makubwa na masuala ya udereva na ufundi magari, jamaa alijifundisha kuendesha magari na kutengeneza akiwa tu kitaa huku anasoma, bila kwenda chuo chochote cha ufundi.
Nikawa nimeombwa ushauri na wazazi wake na kuambiwa niongee na dogo kum convince arudie pepa. Nilipoongea nae, nikaona kabisa huyu path ya shule formal sio njia yake. Nikawashawishi sana wazazi wake wampeleke VETA asomee udereva na ufundi magari. Wakakubali, akaenda VETA dogo kusomea rasmi udereva wa magari ya kawaida, na udereva wa magari makubwa, akapiga na course ya VIP. Kisha akapiga na course ya ufundi magari.
The rest is history, sasa hivi jamaa anafanya kazi kama dereva shirika fulani, zaidi ya miaka 10 sasa, analisha familia yake, amejenga na ana biashara zake mjini.
Kweli kabisa ukimlazimisha mtoto kusoma hata kama masomo ni rahisi ila yy atafeli koz sio kitu anachokihitaji
 
Mkuu Naanto Mushi uko sahihi kuwaza kumpeleka Advance kisha Chuo kikuu. Hizi habari za VETA na vyuo ni kutaka tu shortcut za maisha. Cheti cha advance sio mchezo mchezo. Akiwa nacho kinaweza kubadili maisha yake fasta kwasababu kinatambulika kote. Wewe pima sababu zilizomfanya akapata div 4 pia msikilize na yeye anasemaje. Baada ya hapo ndo ufanye maamuzi. Ila hiyo Bondeni ni shule ya hovyo. Ni shule iko katikati ya jiji na maalum kwa vilaza. Haina historia yoyote ya kufaulisha.
 
Kama bado vigezo havijabalika ni kwamba kufanya mtihani wa form six lazima form iv uwe na credit tatu (ambazo huyo mtu hana) kwahio hata akienda inabidi wakati anaendelea awe anasafisha cheti kwa kutafuta credit ili mwisho wa siku ziwe tatu...

Ila muda ni mali kwanini asiende vyuo
 
Back
Top Bottom