yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu: Good morning Lindi

    Hii picha nilipiga tarehe 08/03/2024 asubuhi Lindi - Tanzania. Hakika Tanzania ni nzuri Aiseee. Camera tu ndio unaniangusha sasa Mla Bata njoo huku
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kauli za Mama Yangu.

    1.Nilipokua Mdogo Niliibiwa Baiskeli Yangu Mama akaniambia" Huyo mtu ameiba Baiskeli yako ajaiba Bahati yako. 2. Nilipokua nasoma Kuna siku Moja niriludishwa Shule kwa ajiri ya Ada, niliporudi Nyumbani mama akaniambia kapumzike/Kalale nilipoamka akaniambia Chukua madaftari yako usome.(Na kile...
  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya Siku 2024

    Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.
  4. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu anapenda mapenzi kila dakika na ni mke tutatoboa kweli?

    Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show babu kubwa aisee analala huko hana hata hamu analala kama amekufa. Sasa changamoto anataka kila...
  5. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu ya tahasusi mpya ambazo zinaleta tija

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1. Math, Physics And Chinese 2. Physics, Chemistry and Russian or...
  6. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu ya combination mpya

    Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu tungepata combination zifuatazo 1.math, physics and Chinese 2.physics, chemistry and Russian or arabic...
  7. haszu

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anafanya kazi gani?

    Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia, 1. Amejenga ndani ya miezi miwili au mitatu. 2. Tangu ahamie, muda wote yuko ndani, mara kadhaa...
  8. mkarimani feki

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Serikali ipambanie hela za kujikimu kwa Watumishi katika Halmashauri hizi

    Najua hii ni platform ambayo ninaweza sikilizwa kilio changu kama Mtumishi wa Umma ambae napitia kipindi kigumu. Waziri wa TAMISEMI Mchengerwa aliahidi angepambana na Wakurugenzi wa Halmashauri ambao hawatoi hela ya kujikimu kwa watumishi. Till date mambo sio mambo, maisha ni magumu sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Faida yangu kibiashara kwa siku nane inaweza kumlipa Mkuu wa Wilaya mshahara; anapata wapi nguvu yakinifokea?

    Wafanyabiashara nawaomba tembeeni kifua mbele kwanini ninyi ni matajiri. Ninyi ndio walipa mishahara ya serikali, mnawanunulia viongozi mafuta ya magari, mnawapandisha ndege na kulipa ada za watoto wao. Kwanini wale mliowaajiri waishi kama wafalme wakati hawana shengeli kama sisi? Tuamke sasa...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimempiga mfanyakazi mwenzangu baada ya kula mbele yangu na akijua mie nimefunga

    Ujinga mie sitaki hata kidogo yaani mie nimefunga swaumu kwenye mwezi huu mtukufu wa ramadhani halafu kuna lijinga limoja likakaa mbele yangu na kuanza kula bytes zake na sharubati lakini nikamdhalisha oyaa mie nimefunga sihitaji kero hata kidogo lakini nafikiri kwa ujeuri wake akaanza...
  11. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

    Niaje waungwana, Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti. Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
  12. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ndugu yangu!

    Jamaa yangu kaomba ushauri
  13. R

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Salaam, Shalom! Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme, Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  15. mfate42

    JamiiForums Tanzania Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hofu yangu katika miezi iliyopita siwezi kusahau

    Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita. Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini mwezi wa 10/2023 niliona humu JamiiForums watu wanahimizwa sana kupimwa kujua afya zao na mimi...
  17. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu huu ni ubinafsi

    Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki. Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo. Ahsanteni.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA...
  19. ezekeo

    JamiiForums Tanzania Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  20. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Naweza nikatrack mawasiliano ya simu ambayo nimeongea nayo juzi? Kijana kakimbia na pikipiki yangu toka juzi, hivi sasa hapatikani.

    Habari viongozi? Nimeibiwa pikipiki na kijana niliemuamini nikampa apige boda. Simu yake kuita mara ya mwisho ilikua juzi ila toka jana haiiti. Tulikuwa hatujakamilisha wadhamini maana ni kijana ambae tulikuwa tunakaa nae maskani muda mwingi so tulikuwa tunaprocess hayo mambo huku akiendelea na...
Back
Top Bottom