complexi
Member
- Jul 6, 2021
- 67
- 82
Habari wana JF,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, naomba msaada wenu kwa yoyote ambae ana fursa ya kazi kutokana na fani yangu au nje ya fani yangu.
Elimu yangu ni shahada ya elimu katika masomo ya sanaa (history na geography), nimejitolea katika shule moja ya serikali bila malipo
na hali yangu ni mbaya hata pesa ya sabuni nakosa naombeni msaada wenu wa kazi yoyote wanajamiii.
Napatikana Songea kwa sasa lakini nipo tayari kufika mkoa wowote kama nitafanikiwa kupata kazi.
Asante.