Jirani yangu chumba cha pili akiwa na mkewe wakinaniliu lazima aangue kilio

From Meru

JF-Expert Member
May 19, 2023
2,381
5,231
Nakaa huku uswahlini chumba
hakina siling bodi na ukuta
unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili

Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe
anamwambia pole.

Jamaa ananung'unika tamu sana mpenzi wangu ndiyo maana nalia machozi.

Sasa mimi nimeshindwa kuvumilia leo
nimecheka kwa sauti.

Asubuhi nimekuta sandoz zangu zimepotea na leo wikiend nachelewa kuamka na sio kawaida maana hapa kwetu akuna umeme na palivyo mwizi mwenyewe lazima aogope kuingia pana ulinz wa jadi yaan uwan hakuna mlango wala fremu ya mlango.

Nawaza jamaa kanifanyia njama si bure.
 
Mwambie "adailuti" na maji😂😂😂😂
sasa apa napokaa jilan wa chumba
cha pili akitaka kufika mulima meru
lazma aangue kilio jamaa analia
kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe
anamwambia pole.jamaa ananung'unika tamu sana mpenz wangu ndo maana nalia machoz
 
Kuna kisa kimoja, jamaa alikua akipiga game anapiga kelele sana, Kuna Mzee mmoja jirani yake anaitwa Mzee Khamis akamuita akamsihi sana kua sio vizuri anavyopiga kelele wakati wa tendo inaleta taswira mbaya kwa majirani, basi jamaa akamwambia "Mzee Khamis nimekuelewa, ntajitahidi kutopiga kelele tena"

Ilipofika usiku wakati wa tendo jamaa akaanza kupiga kelele " aaahh tamuu......, Jamani Mzee Khamis nisamehe tu ila ni tamu, Mzee Khamis tamu jamani utanisamehe tu...."

Mzee Khamis akatoka kwake akaenda mpaka dirishani kwa jamaa akamgongea. "we msenge, kama kelele piga tu unavyoweza ila usinitaje"
 
Nakaa huku uswahlini chumba
hakina siling bodi na ukuta
unaotenganisha chumba na chumba si mrefu kiasi unaweza ukaruka kuingia chumba cha pili

Sasa hapa napokaa jirani wa chumba cha pili akitaka kufika mulima Meru lazma aangue kilio jamaa analia kilio cha kwikwi huwa nasikia mkewe
anamwambia pole.

Jamaa ananung'unika tamu sana mpenzi wangu ndiyo maana nalia machozi.

Sasa mimi nimeshindwa kuvumilia leo
nimecheka kwa sauti.

Asubuhi nimekuta sandoz zangu zimepotea na leo wikiend nachelewa kuamka na sio kawaida maana hapa kwetu akuna umeme na palivyo mwizi mwenyewe lazima aogope kuingia pana ulinz wa jadi yaan uwan hakuna mlango wala fremu ya mlango.

Nawaza jamaa kanifanyia njama si bure.
Hivi ni vituko uswahilini uswahilini kunavituko
 
Kuna kisa kimoja, jamaa alikua akipiga game anapiga kelele sana, Kuna Mzee mmoja jirani yake anaitwa Mzee Khamis akamuita akamsihi sana kua sio vizuri anavyopiga kelele wakati wa tendo inaleta taswira mbaya kwa majirani, basi jamaa akamwambia "Mzee Khamis nimekuelewa, ntajitahidi kutopiga kelele tena"

Ilipofika usiku wakati wa tendo jamaa akaanza kupiga kelele " aaahh tamuu......, Jamani Mzee Khamis nisamehe tu ila ni tamu, Mzee Khamis tamu jamani utanisamehe tu...."

Mzee Khamis akatoka kwake akaenda mpaka dirishani kwa jamaa akamgongea. "we msenge, kama kelele piga tu unavyoweza ila usinitaje"
🤣🤣🤣🤣
 
You made my day🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
" aaahh tamuu......, Jamani Mzee Khamis nisamehe tu ila ni tamu, Mzee Khamis tamu jamani utanisamehe tu...."

Mzee Khamis akatoka kwake akaenda mpaka dirishani kwa jamaa akamgongea. "we msenge, kama kelele piga tu unavyoweza ila usinitaje"
Hapa kun mawili aidha majirani wahisi mzee khamis ndo anapiga au anapigwa mashine ndo maana mzee wa watu kaona isiwe keshi😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom