How? Which error is showing.wenye yahoo email mnapata tatizo kama langu la kuto loginau
Tumia Yahoo kupitia servers za GoogleWenye Yahoo Mail mnapata tatizo kama langu la kuto login?
Nilikuwa na adress ya yahoo miaka ya 2000 .enzi hizo internet cafee ni hadi uende kariakoo kwa musa telecomunicationDuh! Yahoo kitambo sana kuwatumia..
nieleweshe kidogo zaidi servers za google ni zipiTumia Yahoo kupitia servers za Google
Kama unayo account Google, ingia Gmail kisha kuna maelekezo ya kufuata ya jinsi ya ku-add other email accounts from different domains.nieleweshe kidogo zaidi servers za google ni zipi
AsanteKama unayo account Google, ingia Gmail kisha kuna maelekezo ya kufuata ya jinsi ya ku-add other email accounts from different domains.
ninayo lkn sioni mahali popote penye maelekezoKama unayo account Google, ingia Gmail kisha kuna maelekezo ya kufuata ya jinsi ya ku-add other email accounts from different domains.
Natumia moderm ya tigoInafunguka, tatizo ni provider wako wa internet; click hiyo link
Sign in | Yahoo
Sign in to access the best in class Yahoo Mail, breaking local, national and global news, finance, sports, music, movies... You get more out of the web, you get more out of life.login.yahoo.com
asante, kwenye simu na line ya airtel inafunguka. Desktop computer haifunguki, tatizo umesema ni internet provider ie TIGO, niwaone Tigo? au itakaa sawa with timeInafunguka, tatizo ni provider wako wa internet; click hiyo link
Sign in | Yahoo
Sign in to access the best in class Yahoo Mail, breaking local, national and global news, finance, sports, music, movies... You get more out of the web, you get more out of life.login.yahoo.com
Tigo wana changamoto za kimtandao; jaribu hiyo link hapo juu kama itakubaliNatumia moderm ya tigo
Kwenye moderm, nenda setting, profile management, profile name-tigo; halafu ujaribu tenaasante, kwenye simu na line ya airtel inafunguka. Desktop computer haifunguki, tatizo umesema ni internet provider ie TIGO, niwaone Tigo? au itakaa sawa with time
ninayo lkn sioni mahali popote penye maelekezo