Fahamu athari za kuangamia kwa wanadamu
Ushawishi wa binadamu Duniani umefikia kiwango ambacho sasa unashawishi matukio yaliopo
Wanadamu daima wameathiri kwa njia moja au nyengine masuala yao ya mazingira, kutoka moto hadi kilimo.
Lakini ushawishi wa binadamu Duniani umefikia kiwango ambacho...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk.
Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
habari wadau wote wenye changamoto za kimaisha..
Vijana wengi kitaani tunapitia hali ngumu.. hii imenifanya niimbe wimbo wa kutuliwaza nimelimiss Bumu..
naombeni maoni yenu wapi nimekosea na wapi nimepatia
heri ya mwaka mpya
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba kuweka taarifa ikionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020 hadi 2020 imeweka bayana kipengele cha Bima ya Afya kwa wote.
Ilani hiyo chini ya Jemedari wetu mbeba maono Dr. John Pombe Magufuli inasomeka kama ifuatavyo:-
1. HUDUMA ZA JAMII
Zimeanzia kutajwa kwenye...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu amesema walimu ndio kada ya watumishi wa umma wanaolipwa mishahara mikubwa kuliko kada nyingine yoyote.
Naibu Katibu Mkuu amesisitiza kuwa walimu wanalipwa mishahara mikubwa sana nchi hii kuliko kada nyingine zote.
Naibu waziri ameyasema hayo kwenye kipindi...
Kutokana na uzembe maofisini, Ni vyema sasa Mfumo wa ajira ukabadilika haraka iwezekanavyo.
Mfumo ambao upo, umewafanya watu kuzoea kazi ili hali huko nje kuna watu wachapa kazi na hawajapata chansi ya wapi wakatumikie taifa lao.
Mfumo uliopo, ndio ulioleta uzembe maofsini, Kwa sababu mtu...
Kwa kawaida huwa tunasema tunayo mihimili mitatu inayojitegemea yaani Serikali, Bunge na Mahakama.
Ni ukweli pia kuwa mkuu wa serikali ni Rais, mkuu wa bunge ni Spika na mkuu wa mahakama ni Jaji mkuu.
Ni ukweli pia kuwa Rais huteua Jaji mkuu na majaji wengine wote.
Kadhalika Rais anaweza...
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo...
Mpaka sasa watanzania wengi tupo njia panda maana hatujui kama waliokuwa wanachama wa CHADEMA - 19 ambao walivuliwa uanachama na chama chao bado ni wabunge halali au la?
Jana gazeti la mwananchi limemnukuu spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisema wabunge wote aliowaapisha ni...
Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia.
Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa...
Amemuomba nimletee sasa kwa kuwa sipendi nimuudhi nawauliza wadau mnisaidie kujua kama nimepatia kwenye manunuzi au la!
Mazingira yanaashiria Itakuwa ni desturi kwa miezi kadhaa hivyo najipanga mapema
Aksanteni sana kwa ushirikiano mtakaonipa
Nawatakia Jumamosi Njema
RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo
Amesema watumishi hao...
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k
KARIBUNI SANA VIJANA.
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.
Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.
Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.
Marehemu hao wameacha...
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani wafanyabiashara na hata kuwajeruhi au kushiriki kwa namna yeyote kwenye mauaji ya wapinzani ni tishio kubwa sio tu kwasasa lakini kwa miaka mingi sana ijayo...
Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi
Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James Mdee aliyoyatoa jana, tarehe 01 Desemba 2020, mbele ya waandishi wa habari, katika Hoteli ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.