Mufti wa Tanzania, Aboubakar Zuberi ametoa pole kwa Watanzania wote na walioguzwa na taarifa za kifo cha Rais Magufuli kilichotokea Machi 17, 2021.
Amesema kwa maadili ya dini ya kiislamu marehemu anatakiwa kukumbukwa kwa mazuri. Hivyo ametoa wito kwa watanzania kukumbuka mazuri ya Rais...
Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari.
Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa:
Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House
Habari yenyewe ni kuwa:
1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1.
2...
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.
Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...
BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI.
Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa maisha aliyo yaishi kipindi yupo duniani. mungu anakuonesha ulivyo ishi kumbukumbu ikiisha inaonekana...
Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha anatembelea.
Jamaa hana majivuno, anashare mawazo na sisi watu wa daraja la kati wa uchumi wa kati...
Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19.
Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam.
Majibu...
Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu.
Pia miezi michache iliyopita hawa...
Tukiwa tunawaambieni kuwa tumieni Akili zenu vizuri katika kufanya (kutenda) mambo muwe mnatuelewa ila bahati mbaya mkisemwa (mkisilibwa ) kwa Upuuzi wenu huwa mnanuna (mnatununia) hapa. Hivi kweli kwa Ukubwa na Ukongwe wa Klabu ya Yanga leo hii ilikuwa ni ya Kuita Waandishi wa Habari na...
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?.
Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda kumtambulisha. Pia amesema mambo anayoyafanya ni sample tu ya vijana wa Kigoma kwa hiyo watu wasishangae sana...
SIKU HIZI KUNA KATABIA NAKAONA BAR
Umeenda zako mahali unapiga gambe na meza imependeza anatokea jamaa kapendeza na kaweka ufungua wa gari kiunoni anajisogeza na bia yake moja story nyingiiiii badae unasikia nipe moja brother atakupa au utasikia brother napiga moja
Umenunua zako K Vant unapiga...
Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho.
Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Wakuu naomba nifikishe kilio cha rafiki yangu mmoja mwenye tatizo la kupata kizunguzungu kila alalapo, hasa anapolala chali kitandani. Huyu jamaa ana umri kati ya miaka 30 - 35, hana historia ya kuvuta sigara, hatumii pombe wala hatumii madawa makali ya...
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.
Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama...
Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha.
Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
Kuna nini Morogoro? Mbona maduka ya Wahindi karibu yote yamefungwa? Tatizo nini? wiki ya pili sasa maduka mengi ya Wahindi yamefungwa, kuna nini Morogoro?
Je, ni TRA au tatizo ni nini?
Inakuwaje wanajamvi!
Sisi wote watanzania ni wezi katika nafasi zetu husika. Ukiibiwa potezea. Unaenda kujaza mafuta Sheli ukiibiwa unakimbia humu kuanzisha uzi ukilia lia wakati huko ofisini unapiga panga, ama una duka unaibia chenji wateja ama unakwepa kodi halafu ukilizwa unabaki kulia lia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.