USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Godfrey-K

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,925
3,670
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
 
Enl3asxXEAIiCSd.jpeg

Hapa ni kabla njaa haijapanda kichwani
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja...
Kwakwakwakwakwakwakwa! Jamani mbavu zangu, jamani mbavu zangu, jamani mbavu zangu ehehehehehehe!
 
Back
Top Bottom