CCM Wilaya ya Tabora imetoa wiki wasaliti wote ndani ya chama wawe wameorodheshwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,221
24,082
03 November 2020

CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA

Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.

Katibu wa CCM wilaya ya Tabora Nicolaus Malema akizungumza wakati wa kiwashukuru wananchi na wanachama wa chama hicho huku akiwa amekaa chini, amesema chama kinapaswa kujisafisha kwanza kabla ya kuwashughulikia wa nje ya chama.

Amewataka madiwani na mbunge kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi huku akiwaonywa madiwani wasiowajibika kuwa hawatamaliza miaka mitano.

Chama hicho wilaya ya Tabora, katika kimewashukuru na kuwapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kukipatia ushindi chama hicho.

Chanzo: Mwananchi digital
 
Kwa mtindo ambao chama cha CCM Mpya kinaendeshwa 'wasaliti' hawatakoma si Tabora tu bali nchi nzima na amini wapo wengi ndani ya CCM hawakubaliani na jinsi chama na serikali inavyoendeshwa.
Membe alisema ana wabunge wake kadhaa ambao hata wakitaka wamuue hatawataja
 
03 November 2020

CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA

Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.

Katibu wa CCM wilaya ya Tabora Nicolaus Malema akizungumza wakati wa kiwashukuru wananchi na wanachama wa chama hicho huku akiwa amekaa chini, amesema chama kinapaswa kujisafisha kwanza kabla ya kuwashughulikia wa nje ya chama.

Amewataka madiwani na mbunge kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi huku akiwaonywa madiwani wasiowajibika kuwa hawatamaliza miaka mitano.

Chama hicho wilaya ya Tabora, katika kimewashukuru na kuwapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kukipatia ushindi chama hicho.

Chanzo: Mwananchi digital

Huyo aliyeganda na salute pale nyuma ameaga nyumbani kuwa anakwenda kazini na kazi yenyewe ndiyo hiyo
 
Wameanza Kulana Hata Kabla Hawajahapishana. Mmewamliza Wapizani wenu, then ni Zamu ya Kulana Nyinyi Kwa Ninyi.. Aya Twende Safari.. Fisi akikosa Mawindo ugeukia Wanae/wenzake walio weak...

Hata hivyo Inakuwaje Watokee Wasaliti wakati Wameshinda Nchi Nzima Kuanzia Udiwani hadi Urais.. Sasa huyu ndiye anataka Kutuchanganya.. SI WAPONGEZANE KWA KAZI NZURI AU HAWANA UHAKIKA NA USHINDI KUWA NI JASHO LAO. Wenyeakiri Tunaanza Kujiuliza Kulikoni....
 
Wameanza Kulana Hata Kabla Hawajahapishana. Mmewamliza Wapizani wenu, then ni Zamu ya Kulana Nyinyi Kwa Ninyi.. Aya Twende Safari.. Fisi akikosa Mawindo ugeukia Wanae/wenzake walio weak...
Hofu za Siri iliyotendeka 28 October 2020 chini ya mwamvuli wa CCM Mpya tayari imeanza kuwatafuna hata baada ya kuwatia kizuizini viongozi wa vyama upinzani Wanaotaka kuongoza maandamano ya amani .

Hakuna tena kuaminiana ndani ya CCM Mpya kwa mambo haramu waliyotekeleza kupata mitano mingine
 
Wakati mnaanza kujitafuna wenyewe chadema inawalia timing. Haijalala! Wala msijisifu kuwa mmeshinda hii vita.

Muda utaamua.
 
03 November 2020

CCM WILAYA YA TABORA IMETOA WIKI WASALITI WOTE NDANI A CHAMA WAWE WAMEORODHESHWA

Chama cha Mapinduzi wilaya ya Tabora, kimetoa hadi mwishoni mwa wiki hii,wasaliti wote ndani ya chama wawe wemeorodheshwa na majina yao kupelekwa ofisi ya wilaya kwa hatua zaidi.

Katibu wa CCM wilaya ya Tabora Nicolaus Malema akizungumza wakati wa kiwashukuru wananchi na wanachama wa chama hicho huku akiwa amekaa chini, amesema chama kinapaswa kujisafisha kwanza kabla ya kuwashughulikia wa nje ya chama.

Amewataka madiwani na mbunge kutoa utumishi uliotukuka kwa wananchi huku akiwaonywa madiwani wasiowajibika kuwa hawatamaliza miaka mitano.

Chama hicho wilaya ya Tabora, katika kimewashukuru na kuwapongeza wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kukipatia ushindi chama hicho.

Chanzo: Mwananchi digital
Waliopo Tabora CCM haina wasaliti, bali mnalazimisha wananchi kuchagua mbunge asiekubalika. 2015 Mwakasaka alishindwa, Mkapa akaja Tabora kusawazisha mambo. Mwaka huu Mwakasaka ameshindwa vibaya, kikwete na ndugai wamekuja kusawazisha mambo.
 
Back
Top Bottom