Upinzani mmecheza karata nzuri kuhakikisha wote mnakamatwa na polisi ndani ya kipindi kifupi tu baada ya uchaguzi

Jelavic

Senior Member
Dec 28, 2016
180
380
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki.

Lakin sasa kwa hali inavoendelea madai yenu yataonekana yana msingi, kwanza MMEDHULUMIWA pili MNAZIBWA MIDOMO na dola ili msipaze sauti.

Matokeo yake tumeanza kuyaona kuanzia juzi balozi wa marekani kazungumza, baadae msemaji wa ofisi ya waziri wa mambo ya nje ya marekani katweet, na leo waziri Pompeo mwenyewe ka-tweet, vyombo vikubwa vimeripoti kama aljazeera na balozi kubwa kama Canada na wingereza zimeashiria kuguswa na kinachoendelea Tanzania.

Hii vita haiitaji nguvu japo ina maumivu, ukiweza kuivuta kumuiya ya kimataifa upande wako uko salama zaidi kwa kila hatua utakayochukua ndani ya nchi.

Komaeni mpaka mwisho kwaajili ya vizazi vijavyo.
 
What these CCM thugs and their partners in crime police doing , is like someone stepping on your toes, and when you want to let him and the world know that he stepped on your toes, he is silencing you so you can't even talk!
 
Watawakamata na kuwafunga viongozi wetu kuharalisha ubakaji wa demokrasia waliofanya, ila Nyerere hakuwa mjinga kuruhusu vyama vingi. Mnataka muongoze nchi kama mnavyowaongoza wake zenu????
 
Na kwa taarifa yako wamefunguliwa kesi ya ugaidi
Endelea kuwapongeza vile vile uwaonee na huruma chezea ndevu zako ,
Usichezee serikali...
 
Madman in the state house is going to be vanished .
IMG_20201102_075134.jpg
 
Kwa takribani miaka 60 ccm imekuwa kipenzi cha mabeberu coz ccm imekuwa ikifeva interest zao. Ukiona beberu anakusakama ujue ni kwa interest zake sio za raia.
 
Narudia TANZANIA is Sovereign state kwahiyo hatuwezi kupangiwa cha kufanya hivi unawezaje kupuuza mawazo ya watu 12M waliopiga kura.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mungu ana makusudi kutuletea Magu ila watu hawajajua tu.

In short, CCM itaanguka na itaangushwa na Magu.

Mungu ana makusudi na kila jambo.
Jana nilikua naongea na mtu muhimu ndani ya chama cha maumivu akaniambia hata bila ya wapinzani kumchukia jiwe kwa ukatili wake hata wao akiondoka madarakani wanae tuu kwani amesababisha maumivu mengi sana hata ndani ya walio ndani mwao
 
Jana nilikua naongea na mtu muhimu ndani ya chama cha maumivu akaniambia hata bila ya wapinzani kumchukia jiwe kwa ukatili wake hata wao akiondoka madarakani wanae tuu kwani amesababisha maumivu mengi sana hata ndani ya walio ndani mwao
Huyu dikteta amelaaniwa na MUNGU wa mbinguni
 
Narudia TANZANIA is Sovereign state kwahiyo hatuwezi kupangiwa cha kufanya hivi unawezaje kupuuza mawazo ya watu 12M waliopiga kura.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
We kata mauno tu
 
Back
Top Bottom