Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
3,036
3,479
Wakuu,

Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.

Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.

Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.

Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.

Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.

Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.

Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.

So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse

TANZANIA JITIOENI HARAKA
 
Labda hizo nchi za nje wasichukue hatua, lakini wakichukua tutawaunga mkono, hatuko tayari kuongozwa na ccm kwa shuruti.
We jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kwamba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
 
Wakuu,

Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.

Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya 'Purported Crimes Against Humanity' ila wanalenga kutufarakanisha wapate upenyo kuingia kwa nia ya kusaidia ila ni kwa ajili ya kuvuna maliasili zetu bila kizuizi.

Kwa kuwa mgombea mmojawapo wa Urais aliyepoteza ushindi kwenda huko ughaibuni na kujiunga na wanyonyaji wakubwa kutaka kuanzishisha mashitaka dhidi ya Rais na Serikali yake amechagua njia mbaya ambayo kwa vyovyote vile hana hadhi tena ya kurudi Tanzania kwa sababu ya kugombania madaraka ya kuongoza huyo sio ndugu yetu wala sehemu ya WaTanzania tena.

Ni bora Tanzania ijitoe sasa hivi uanachama na mahakama hiyo ya ICC kwa kuwa inaonekana ipo kwa ajili ya kulipiza visasi sio kurekebisha makosa ya kiutawala. That guy is a curse to be entertained anymore including his hypocite allies.

Wapambe wote na watoa taarifa kwa hao watu wakitokea hapa Tanzania kuanzia sasa wanaombwa wajiondoe nchini haraka ili mapambano yafanyike mkiwa nje ya Tanzania.

Tanzania ni huru, ni ya Haki, in mahusiano mazuri na nchi waungwana lakini yeyote inayejiunga na wahuni walioamua kubadilisha Taswira ya nchi kwa maslahi binafsi na visasi.

Hiyo vita mnayotaka kuianzisha dhidi ya Tanzania kupitia uchochezi kwenye mitandao, vitisho vya kufungua kesi ICC, Dunia tatambua kwamba walifanya makosa kuiweka kwenye kundi la nchi za dunia ya tatu. Hakuna wa kuwagawanya WaTanzania kwa chochote wako tayari kwa chochote na mashitaka wanatakiwa kuorodhesha majina ya raia milioni 60 sio hao mnaopigia kelele Tsu-nami (Tetemeko la Bahari) halitazuiwa na nguvu ya makaratasi eti mashitaka dhidi ya binadamu are you foxes really serious or you are just ridiculing to decieve teh elites funding the evil inetnt-it won't make it, we are strong in all cycles be it on international levels, locally, socially, economically etc.

So,, immediately denounce these malicious threats or risk teh dead corpse

TANZANIA JITIOENI HARAKA
Mh
 
We jamaa bana, hivi huwa unazuguka mitaani na kupata maoni ya watu? Au huwa unashinda JF ukiandika porojo? Wewe na nani ambao mnaongozwa kwa shurti? Au unadhani siasa ni kama footbal,kw amba ukiwa Simba hata kama Yanga ipo vizuri unaiponda?
Kwani ukichangia humu JF ni kuwa huwezi kuwa mtaani? Au kuna makazi maalum ya wachangiaji wa JF? Haya maoni nayatoa nikiwa mtaani boss.
 
Yaani unachafua Uchaguzi then unamtisha Marekani na washirika wake - aisee!! Ni sawa na Hamolapa kumpiga mkwara Twaha kiduku!!

Wala wasifike mbali wao waminye dawa za ngoma tu ili tuanze kudondoka mmoko mmoko kama ile miaka ya 90 dadadeq.
 
Waache wakatushitaki kwenye mahakama ya ICC.

... Anashitakiwa mwanasheria mkuu kwa niaba ya serikali
....Tunawanasheria wabobezi watatusaidia kushinda kesi zote za kutengenezwa na mabeberu
....Tuwaruhusu wapinzani watushitaki icc kwani lazima tuwashinde na hii itaonesha dunia kuwa madai ya wapinzani hayana msingi wowote.

Wewe kama kilaza wa kijani gonga like tufurahie ujinga wetu mbele ya mataifa.
 
Kwani ukichangia humu jf ni kuwa huwezi kuwa mtaani? Au kuna makazi maalum ya wachangiaji wa JF? Haya maoni nayatoa nikiwa mtaani boss.
Mbona 90% ya watanzania wanakubali kuwa JPM amepita kihalali na wanakubali uongozi wake. Hawasemi kuwa kuna shuruti, habari za kushurutishwa unazitoa wapi?
 
Waache wakatushitaki kwenye mahakama ya ICC.
... Anashitakiwa mwanasheria mkuu kwa niaba ya serikali
.......Tunawanasheria wabobezi watatusaidia kushinda kesi zote za kutengenezwa na mabeberu
......Tuwaruhusu wapinzani watushitaki icc kwani lazima tuwashinde na hii itaonesha dunia kuwa madai ya wapinzani hayana msingi wowote.
Wewe kama kilaza wa kijani gonga like tufurahie ujinga wetu mbele ya mataifa.
Sio kila mashitaka Icc inayapokea haw wanokuwa na mawazo mgando kama haya ndio huwa wanakurupuka. Kama Tanzania kuna uhalifu dhidi ya binadamu Fatou Bensouda ungemsikia ametamka neno.
 
Back
Top Bottom