Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong.

Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi ya wabunge 70.

Hivyo Chadema wanajua wanachofanya. Mara nyingine ni kuamua kumwaga mboga na kumwacha mtu kashikilia ugali mkononi uone kama ataufaidi, kama sio kuvimbiwa kwa kula bila mboga ugali uliokuwa uliwe na watu wawili.

----
Hong Kong’s pro-democracy opposition legislators have resigned en masse, party leaders said on Wednesday, in protest against a new resolution from Beijing that meant they could be fired for failing to show sufficient patriotism towards mainland China.

The decision sees 19 opposition members of the 70-seat legislative council resign, and was announced at a news conference just a couple of hours after a move by Beijing to oust four prominent members of the pro-democracy camp.

Chinese state media said the earlier resolution, which allows action against legislators who promote or support the independence of Hong Kong, was passed by the standing committee of the National People’s Congress (NPCSC) on Wednesday.

It states that any Hong Kong lawmakers who refuse to accept China’s exercise of sovereignty over the city would be deemed as not fulfilling the requirement of swearing allegiance to the SAR (special administrative region).

As per the ruling, legislators would not be considered meeting the loyalty requirement if they appeal to foreign forces to interfere with Hong Kong’s affairs or if their actions endanger national security, according to the Hong Kong Free Press.

China’s state news agency Xinhua said the resolution came following the request of Hong Kong’s chief executive Carrie Lam.

The four opposition legislators who were disqualified after the ruling were Alvin Yeung, Kenneth Leung, Dennis Kwok and Kwok Ka-ki.

Following the disqualification decision, Mr Kwok told media that the move is in “breach of the Basic Law" (Hong Kong’s mini-constitution) and their “rights to participate in public affairs” but clarified that he will consult his team to ascertain any future legal action.

Source: Hong Kong pro-democracy opposition MPs resign en masse in protest at China ‘patriotism’ law
 
Baada ya Wabunge wenzao wanne kufutwa kazi, wapinzani wote 15 ambao ni watetezi wa Demokrasia (Pro Democracy) wamejiuzulu ikiwa ni ishara ya kuonesha mshikamano

Beijing imepitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka ya Jiji hilo kuwafukuza kazi Wanasiasa ambao wanaonekana kuwa tishio kwa usalama wa taifa

Chini ya Sheria hiyo Serikali ya Hong Kong ina mamlaka ya kuwaondoa Wabunge moja kwa moja bila kwenda Mahakamani

Hatua hiyo inatajwa kama hatua nyingine ya #China kudhibiti Uhuru wa Hong Kong, jambo la Beijing inakataa

====

All of Hong Kong's pro-democracy lawmakers have resigned after four of their colleagues were disqualified.

On Wednesday Beijing passed a resolution allowing the city's government to disqualify politicians deemed a threat to national security.

Shortly afterwards the opposition lawmakers said they would leave the city legislature in solidarity.

For the first time since Hong Kong was handed back to China in 1997 the body has almost no dissenting voices.

BBC China correspondent Stephen McDonnell says the legislature was already stacked in favour of the pro-Beijing-camp.

The territory's leader, Chief Executive Carrie Lam, is pro-Beijing and is supported by the central government there.

The move is being seen as the latest attempt by China to restrict Hong Kong's freedoms, something Beijing denies.

China introduced a controversial and far-reaching national security law in Hong Kong in late June, which criminalised "secession, subversion and collusion with foreign forces".

The law was introduced after years of pro-democracy and anti-Beijing protests. It has already led to several arrests of activists and has largely silenced protesters.

Hong Kong - formerly a British colony - was returned to China under the "one country, two systems" principle, which allowed it to retain more rights and freedoms than the mainland until 2047.

What happened on Wednesday?

The new resolution passed by China's National People's Congress Standing Committee says that lawmakers should be disqualified if they support Hong Kong independence, refuse to acknowledge China's sovereignty, ask foreign forces to interfere in the city's affairs or in other ways threaten national security.

It also allows the Hong Kong government to directly remove lawmakers without having to approach the courts.

Moments after that resolution passed, four lawmakers - Alvin Yeung, Kwok Ka-ki and Dennis Kwok of the Civic Party and Kenneth Leung of the Professionals Guild - were disqualified.

All four of them are considered moderates and they have never supported Hong Kong independence.

The city's pro-democracy legislators have 19 seats in the 70-seat legislature. Within hours of their disqualification, the remaining 15 announced they would resign en masse.

"We can no longer tell the world that we still have 'one country, two systems', this declares its official death," Hong Kong Democratic Party chairman Wu Chi-wai told reporters.

"We... will stand with our colleagues who are disqualified. We will resign en masse," he said.

But Chinese foreign ministry spokesman Wang Wenbin said the disqualification of the four lawmakers was "rational, reasonable and in line with the constitution and laws".

"This was a necessary requirement for adhering to and improving on One Country, Two Systems, implementing Hong Kong's Basic Law, as well as Hong Kong's National Security Law," he said at a news conference in Beijing.

The four men were among 12 legislators who were earlier barred from standing in a legislative election planned this year but delayed until 2021.

The group had called on US officials to impose sanctions on those responsible for alleged human rights abuses in Hong Kong.

Duh! Taarifa ni ya Wabunge wa HongKong, katikati ya maelezo tunapewa uhalali wa Wabunge wa Chadema, aisee 😂😂😂😂
 
Mkuu kwa wapare ugali unaliwa kwa picha ya samaki. Kanda ya ziwa kuna sehemu ugali wanashushia kwa chai hivyo sio lazima mboga kwa ugali

Hahaha! Nakuelewa mkuu. Mie niliwahi kuwa na kidosho yaani alikuwa akiwa mbele yangu nikiwa nakula ugali basi sikuhitaji mboga tena, kuangalia sura yake ilitosha kufanya ugali uwe mtamu!😄😄😄😄😄
 
Duh! Taarifa ni ya Wabunge wa HongKong, katikati ya maelezo tunapewa uhalali wa Wabunge wa Chadema, aisee 😂😂😂😂
Titleya thread imebadilishwa na uzi kuhamishwa toka jukwaa la siasa Mkuu. Title ilikuwa "Chadema wanajua wanachofanya Kususia Bunge kama Walivyofanya Wabunge wa Upinzani Hong Kong"
 
Unataka kusema Chadema wangeshinda majimbo 40 wangeweza kususia bunge?
Wananyima haki za wabunge wa viti maalumu sababu ya kushindwa kwenye majimbo. Wewe huwa ni mpumbavu,huna common sense. Unaropoka tu ili uonekane unajua.
 
Watu wanapigania maslahi ya ardhi yao CCM Zanzibar wanapigania kuwa watumwa wa bara.
 
Unataka kusema Chadema wangeshinda majimbo 40 wangeweza kususia bunge?
Wananyima haki za wabunge wa viti maalumu sababu ya kushindwa kwenye majimbo. Wewe huwa ni mpumbavu,huna common sense. Unaropoka tu ili uonekane unajua.
Hahaha! Una namna ya ajabu sana ya kutafuta ujuzi toka kwangu. Unabisha na kutukana ili nihangaike kukuelimisha. Sitaki sasa, sikujibu ng'ooo!
 
Baada ya Wabunge wenzao wanne kufutwa kazi, wapinzani wote 15 ambao ni watetezi wa Demokrasia (Pro Democracy) wamejiuzulu ikiwa ni ishara ya kuonesha mshikamano

Beijing imepitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka ya Jiji hilo kuwafukuza kazi Wanasiasa ambao wanaonekana kuwa tishio kwa usalama wa taifa

Chini ya Sheria hiyo Serikali ya Hong Kong ina mamlaka ya kuwaondoa Wabunge moja kwa moja bila kwenda Mahakamani

Hatua hiyo inatajwa kama hatua nyingine ya #China kudhibiti Uhuru wa Hong Kong, jambo la Beijing inakataa

====

All of Hong Kong's pro-democracy lawmakers have resigned after four of their colleagues were disqualified.

On Wednesday Beijing passed a resolution allowing the city's government to disqualify politicians deemed a threat to national security.

Shortly afterwards the opposition lawmakers said they would leave the city legislature in solidarity.

For the first time since Hong Kong was handed back to China in 1997 the body has almost no dissenting voices.

BBC China correspondent Stephen McDonnell says the legislature was already stacked in favour of the pro-Beijing-camp.

The territory's leader, Chief Executive Carrie Lam, is pro-Beijing and is supported by the central government there.

The move is being seen as the latest attempt by China to restrict Hong Kong's freedoms, something Beijing denies.

China introduced a controversial and far-reaching national security law in Hong Kong in late June, which criminalised "secession, subversion and collusion with foreign forces".

The law was introduced after years of pro-democracy and anti-Beijing protests. It has already led to several arrests of activists and has largely silenced protesters.

Hong Kong - formerly a British colony - was returned to China under the "one country, two systems" principle, which allowed it to retain more rights and freedoms than the mainland until 2047.

What happened on Wednesday?

The new resolution passed by China's National People's Congress Standing Committee says that lawmakers should be disqualified if they support Hong Kong independence, refuse to acknowledge China's sovereignty, ask foreign forces to interfere in the city's affairs or in other ways threaten national security.

It also allows the Hong Kong government to directly remove lawmakers without having to approach the courts.

Moments after that resolution passed, four lawmakers - Alvin Yeung, Kwok Ka-ki and Dennis Kwok of the Civic Party and Kenneth Leung of the Professionals Guild - were disqualified.

All four of them are considered moderates and they have never supported Hong Kong independence.

The city's pro-democracy legislators have 19 seats in the 70-seat legislature. Within hours of their disqualification, the remaining 15 announced they would resign en masse.

"We can no longer tell the world that we still have 'one country, two systems', this declares its official death," Hong Kong Democratic Party chairman Wu Chi-wai told reporters.

"We... will stand with our colleagues who are disqualified. We will resign en masse," he said.

But Chinese foreign ministry spokesman Wang Wenbin said the disqualification of the four lawmakers was "rational, reasonable and in line with the constitution and laws".

"This was a necessary requirement for adhering to and improving on One Country, Two Systems, implementing Hong Kong's Basic Law, as well as Hong Kong's National Security Law," he said at a news conference in Beijing.

The four men were among 12 legislators who were earlier barred from standing in a legislative election planned this year but delayed until 2021.

The group had called on US officials to impose sanctions on those responsible for alleged human rights abuses in Hong Kong.

Hii kufuta wabunge wasio wazalendo imekaa poa, Ndugai chukua hiyo
 
Back
Top Bottom