wote

  1. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wanachama wengi haimaanishi wote watakupigia kura

    Nimesikia baadhi ya viongozi wa CCM wakitupigia mahesabu ya wanachama walionao. Wameenda mbali wanatupostia kwenye mitandao kwamba kwenye jumla ya wapiga kura 29M eti wanachama wao ni 22M. Niwaulize nyie vilaza, mmejuaje hao 22M ni wanachama wenu? Hamuoni kuna uwezekano kati ya wanachama wenu...
  2. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakubahatika kuchaguliwa kujiunga na mafunzo JKT?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini mafunzo ya mgambo yasiwe "compulsory" kwa wanafunzi wote waliohitimu kidato cha sita ambao hawakuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya J.K.T...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je vioja vya Tume za uchaguzi ndio vinatuwakilisha waTanzania wote Jinsi tulivyo ?

    Huwaga naona aibu sana sana,yanapojitokeza mambo yanayoonyesha ni ukosefu wa elimu au WaTanzania hatufai kupewa dhamana ,na hii hali inayojitokeza ambayo matatizo yanatokana na Tume za uchaguzi ,kusema kweli yanatuchafua waTanzania wote kwa kiasi fulani. Tume wangejiandaa kwa wizi sio...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bernard Membe: Watanzania mkae macho na mkae chonjo. Nafunga bao la Ushindi dakika ya 89 kwenye Uchaguzi huu 2020

    Salaam Wakuu, Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar. Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze. Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread. Stay tuned. =====...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania "Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kupendelea jamii fulani kimaendeleo" LISSU

    "Nitahakikisha haki, uhuru na maendeleo yanamgusa mtu mmoja mmoja na jamii yote kwa ujumla wake. Nitakuwa Rais wa watanzania wote, nitaheshimu katiba ya Tanzania, utu wa watu, imani za watu wote na itikadi mbalimbali. Nitakuwa Rais wa watu wote, sitabagua wala kuwapendelea watu kimaendeleo kwa...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ni Rais wa Watanzania wote au ni Rais wa waliompigia kura tu?

    Majuzi hapa Rais Magufuli alinukuliwa akiwaasa watu waukatae ubaguzi. Lakini kwa baadhi ya kauli zake, watu wanaweza kusema aanze yeye kwanza kuufanyia kazi huo ushauri wake maana mara kadhaa keshawahi kutoa kauli ambazo zilionekana kuwa ni za kibaguzi. Karibu miaka 3 ilopita, niliwahi kumsema...
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua nafasi za kazi please (1. Medical Assist 2. Registered Nurse & Midwifery ( wote ni diploma)

    deleted
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani za Uchaguzi: CCM na CHADEMA zinakubaliana kwenye Bima kwa Wote, Maslahi ya Wafanyakazi na Bei nzuri za mazao!

    Tofauti na mwaka 2015 kampeni za mwaka huu zimeongeza mambo muhimu kwenye ilani za vyama. Ikumbukwe kuwa ilani ya CCM kwenye kitabu chenye kurasa zaidi ya 350 ndio iliyosheheni mambo makubwa na baadhi ya vyama vya upinzani vimedesa huko. Cha msingi ni kwamba Dr Magufuli na Tundu Lisu wote...
  9. Matope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Joyce Kiria, acha kulaumu wanaume muda wote. Anza sasa kufuatilia matatizo ya wanawake kwenye ndoa zao

    Habari, Nimekuwa nafatilia mada za huyu dada muda wote amekuwa mtu wa kulaumu wanawake kupigwa na waume zao je amewahi jiuliza changamoto ni nini Mpk wapate vipigo? Wakati flani wanawake wanakera na kuudhi sanaaa wapo wanaowanyanyasa sana waume zao walalamike wapi? Wanaume wasioweza kusema...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

    Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Membe huku akimtolea maneno makali sana. Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema Membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana? Membe unalo la kujifunza, pole...
  11. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura za maoni CCM. Wapiga kura wote walikuwepo ukumbini kuangalia kura zinavyohesabiwa. Kwanini Nec iwe na mashaka kwa watu kuwepo nje ya vituo

    Nec ijifunze democrasia kutoka kwa jabali la democracy Tanzania JPM. Akiwa Mwenyekiti wa CCM aliamuru kura zihesabiwe kwa uwazi kabisa mbele ya wajumbe kwenye mchakato wa kura za maoni kupata wabunge na madiwani. Utaratibu huo umesaidia kuondoa malalamiko yoyote ya kuibiwa kura wakati wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kikwete: CCM ni chama cha dini zote, makabila yote, taaluma zote na wanasanaa wote kichagueni

    Rais mstaafu Dr Kikwete amesema tofauti na vyama vingine CCM ni chama cha dini zote na madhehebu yote kwa mfano waislamu kuna Shia, Sunni. CCM ni chama cha makabila yote zaidi ya 120 CCM ni chama cha wataalamu wote CCM ni chama cha wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara CCM ni chama cha...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama huu 'Utafiti' wa 'Kisayansi' ni kweli basi nashauri Wanaume wote tuanze Kudai 'Pesa' zetu tulizokuwa 'tukiwahonga' Wanawake

    Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HAYA PLAY BOYS WOTE TUKUTANE HAPA TUKUMBUSHANE SIFA ZETU

    Habari wana jukwaa. Leo nimeamua kushusha uzi kwa wale play boy wote tujuane kwa sifa zetu mi naanza na zangu kama ifuatavyo 1.naeza fanya chochote ili nimpate dem 2.nikishamtumia tu hata cm yake sipokei au ntakucheki badae zinakua nyingi 3.hua napg kila sample mzuri mbaya wote wangu 4.kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani. Chanzo: ITV habari ------ MWANDISHI...
  16. CHADEMA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo

    Kila mtu huhitaji maendeleo, lakini sio wote wanaofahamu na kukubali hitaji muhimu ili uwe na maendeleo. Hitijai muhimu la maendeleo ni kufanya kazi kwa bidii. Tuache kudanganyika vijana tujitume tufanye kazi kwa bidii. Mtu asije kukudanganya utachelewa sana na utazeeka kwa kuwasindikiza...
  18. PatriceLumumba

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

    Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka. Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Epuka upotoshaji mpya wa wanaCCM

    EPUKA UPOTOSHAJI MPYA WA WANA CCM Amani iwe nanyi wadau Leo napenda kuwaelimisha watanzania wenzangu juu ya upotoshaji mpya wa wana Ccm kwa watanzania. Ukipata ujumbe huu sambaza kwa mwingine kwa namna yeyote unayoweza, iwe Facebook, Twitter, Insta au Whatsup. Kumetokea maneno kutoka kwa wana...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku 'Mitaani' huwa sijui huwa 'tunadanganyana' tu au labda ni 'kweli' kuhusu Walinzi wa 'Marais' wote duniani na Ulinzi wao

    Humu 'Mitaani' wanasema kwamba..... 1. Walinzi wa Rais Trump licha ya kuwa ni Makomandoo Kimafunzo lakini pia huwa ni Wachawi waliotukuka 2. Walinzi wa Rais Trump huwa hawalali kabisa bali Wao 24/7 huwa wanakunywa tu Kahawa ili Wasinzie 3. Walinzi wa Rais Trump huwa wanasimama nje ya Chumba...
Back
Top Bottom