Tuikatae NEC hii kwa nguvu zote haya yakidhihiri. Makamishna wote washtakiwe

Fundi Madirisha

Senior Member
Jun 30, 2020
184
986
Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.

Mbowe na Mnyika ni wanasiasa wazoefu siyo wajinga, wanaelewa itifaki za kila utaratibu. Hivi wanawachukia kinamama hao kiasi gani mpaka wawakane? Dunia nzima inaona ni kama mchezo unachezwa kuwasingizia bila kujua huu mchezo ni wa jambo nyeti.

Ombi langu kwa CHADEMA ni kutumia wanasheria kuishtaki NEC ithibitishe na Dr Mahera amtaje huyo katibu mkuu aliyepeleka majina kwa ushahidi. Ilithibitika kua ni uongo na nyaraka zimeghushiwa basi NEC isitambilike ikataliwe, Makamishna waliohusika katika hii jinai washtakiwe mahakamani na wafungwe jela.

Mahakama yetu isimamie haki katika hili ijiepushe na siasa isije kulivuruga taifa.
 
Huwezi katika hali hii tuliyomo kuwashitaki katika mahakama za humu ndani, mahakama zilizodhibitiwa na serikali. Hawa wanatakiwa kupelekwa The Hague kwa kuvuruga uchaguzi na amani ya Tz.
Mahakama na bunge zipo mfukoni mwa ule mhimili uliojichimbia chini zaidi.
 
Wamuulize yule kipara wa Sudan aliye jifananisha na Mungu leo hii yuko wapi?
Kwa Sasa hawasikii wala kuona hayo. Nafikiri hata yule wa Sudan alikuwa anapewa mifano ya kina Idd Amin na Mobotu lakini hawafikiria kama inngeweza kutoka kwake. Ndiyo walivyo hao wakiwa madarakani. Majuto ni Mjukuu.
 
Wajiandae sana kisaikolojia
 
Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.

Mbowe na Mnyika ni wanasiasa wazoefu siyo wajinga, wanaelewa itifaki za kila utaratibu. Hivi wanawachukia kinamama hao kiasi gani mpaka wawakane? Dunia nzima inaona ni kama mchezo unachezwa kuwasingizia bila kujua huu mchezo ni wa jambo nyeti.

Ombi langu kwa CHADEMA ni kutumia wanasheria kuishtaki NEC ithibitishe na Dr Mahera amtaje huyo katibu mkuu aliyepeleka majina kwa ushahidi. Ilithibitika kua ni uongo na nyaraka zimeghushiwa basi NEC isitambilike ikataliwe, Makamishna waliohusika katika hii jinai washtakiwe mahakamani na wafungwe jela.

Mahakama yetu isimamie haki katika hili ijiepushe na siasa isije kulivuruga taifa.
Hili lazima lifanyike. Ni jinai iliyowazi.
 
Leo kuna mtu kakwapulia wallet mapema naona bundle la kutusumbua limepatika mapema!
Kwangu mimi bundle ni kitu kidogo sana wewe dogo ,usidhani ninaishi maisha ya kuomba omba kama wewe hapo kwa shemeji yako Polepole
 
Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.

Mbowe na Mnyika ni wanasiasa wazoefu siyo wajinga, wanaelewa itifaki za kila utaratibu. Hivi wanawachukia kinamama hao kiasi gani mpaka wawakane? Dunia nzima inaona ni kama mchezo unachezwa kuwasingizia bila kujua huu mchezo ni wa jambo nyeti.

Ombi langu kwa CHADEMA ni kutumia wanasheria kuishtaki NEC ithibitishe na Dr Mahera amtaje huyo katibu mkuu aliyepeleka majina kwa ushahidi. Ilithibitika kua ni uongo na nyaraka zimeghushiwa basi NEC isitambilike ikataliwe, Makamishna waliohusika katika hii jinai washtakiwe mahakamani na wafungwe jela.

Mahakama yetu isimamie haki katika hili ijiepushe na siasa isije kulivuruga taifa.
Makamishna wa Tume wawili ni retired Judges, Balozi mmoja na wakili mwandamizi mmoja,.

Wakurugenzi wa Tume karibu wote ni PhD holders.

Mwenyekiti na Makamu mwenyekiti wa Tume ni retired Judges.

Ukiangalia hii orodha ya wahusika wa huu uchafuzi unaweza kupata msongo wa mawazo.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom