wote

  1. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbe sera ya Bima ya afya kwa watanzania wote Tundu Lissu ka copy kutoka Ilani ya CCM!

    Rais Magufuli leo akiwa mkoani Mara amezungumzia kuhusu sera ya kutoa Bima ya afya kwa watanzania wote. Ahadi hiyo ameitoa leo kwenye kampeni zake huko musoma mjini. Kuthibitisha kuwa sera hiyo ni yake amesoma Ilani ya ccm ya uchaguzi 2020 katika ukurasa wa 139 kipengele "e". Amesema ahadi hii...
  2. Fortilo

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wote wa Hotel kusajiliwa kidijitali kuanzia Oktoba

    Kwa Mujibu wa The Citizen Online ya Jana Sept 3, 20, watumiaji wote wa hotel na guest house kusajiliwa kidijitali kupitia wizara ya Maliasili na utalii. Hii inahusisha watalii wote wa nje na ndani kwenye hotel na guest zote zilizojisajili kama zenye hadhi ya kitalii. Wamiliki wa hotel...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Shangazi: Tume ina majaji 4 lakini wote kama hawajui sheria na hukumu ipo kuwa Maandamano huwa hayahitaji kibali

    NEC ina makamishna 4 majaji na nina hakika wanaelewa kuwa Mahakama ya Rufaani ilitoa HUKUMU kwamba wananchi hawahitaji KIBALI kutoka popote ili kuandamana PEACEFULLY. Polisi ijuilishwe tu lakini kazi yake si kutoa KIBALI! #FactCheck TUME isipate #ElectionFever https://t.co/mAScpweFMb
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Nataka Mwigulu ashinde hapa na Kitila Mkumbo ashinde Ubungo. Wote nawapenda

    Mgombea wetu wa Chama chetu aliwahi kusema kuwa hana Mgombea na wala hajawahi kutuma mtu agombee, video hii hapa Leo kabadilika anasema kwakuwa Mwigulu na Kitila wote ni Wadogo zake basi ameona mmoja abaki Huko na mwingine aende Ubungo na anataka wote washinde. Angalia attachment. Tusiwe...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania safari za Kenya zimewashinda licha ya kuachiwa uwanja wote

    Ndege za Tanzania zimeshindwa safari za Kenya/Tanzania baada ya kukosa abiria wa kutosha, uwanja wameachiwa wote maana hamna ndege za KQ zinazoruka hiyo ruti, dunia hii ukiendeshwa na chuki utaishia kuteseka mwenyewe badala ya wahanga wa chuki zako. ===== The Tanzania-based Air Precision has...
  6. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kama wagombea wengi wa Vyama mbali na CCM wameenguliwa na wote kupingwa kuliko mwaka 2015, tatizo ni nini hapa?

    Mwaka 2015, kwenye uteuzi wa wagombea udiwani na wabunge mambo yalikuwa kama ifuatavyo: 1. udiwani, rufaa zilikuwa 223, nyingi zikiwa za CCM (83) na Chadema (87). Hakuna mgombea wa udiwani wa CCM aliyekatwa, wakati wale wa vyama vingine waliokatwa walikuwa 11, na wengi wao (9) ni Chadema...
  7. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM Oktoba 2020 itakuwa ni fedheha kwa CHADEMA na ACT Wazalendo na upinzani wote

    USHINDI WA CCM OKTOBA 2020 ITAKUWA FEDHEHA KWA UPINZANI HASA CHADEMA NA ACT. Niliwaambia wapinzani waungane waunde Umoja utakaoitwa MUMAFI (MUUNGANO WA MABADILIKO YA FIKIRA) lakini wamekubali kugawana kura kiulani Sana, kwa ubishi huu wa kujifanya mnajua Sana kuliko watazamaji wanaojua Nini...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona Total wameishindwa Tanzania, ingekuwa kampuni ya Kenya mngechekelea ila sasa wanahama wote

    Kampuni ya mafuta ya Total, ambao ndio walikua tegemeo kwa ujenzi wa bomba la mafuta Tanzania, naona wametangaza zabuni ya kuuza kila kinachowahusu Tanzania, kawaida humu huwa tunaona Watanzania wakichekelea kila panapotokea taarifa za kampuni ya Kenya kwao huko inapofungasha, sasa kwa hawa...
  9. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Watakaokubalika na vijana watashinda uchaguzi mkuu! Wazee wenye miaka 61 na kuendelea, ni asilimia 3 tu ya watanzania wote!

    Wanajamvi, Kwa wale ambao wamefuatialia “Tanzania demographics”, watakubaliana na mimi. Lakini pia kama upo Tanzania utaelewa ninachosema. Lakini kuna mabandiko mengi ambayo nilikwishazungumzia kuhusu “Tanzania Demographics”, haswa kwenye thread za kuhusiana na “COVID-19”. Ambapo niliweka...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu kaahidi Bima ya Afya kwa wote

    Kampeni za uchaguzi zishaanza. Wagombea wanakatiza nyika sehemu mbalimbali za nchi kuzinadi sera zao. Wanatoa kila aina ya ahadi. ‘Mimi nitafanya hivi, nitafanya vile, nitafanya haya, nitafanya yale’. Sasa mimi ni mmoja wa watu ambao huwa sitegemei mwanasiasa au mtu mwingine kuniboreshea...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu: ACT Wazalendo, CHADEMA na wote wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo

    Mabibi na mabwana na hasa wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo. Haki zetu, Uhuru wetu na Maendeleo yetu haviwezi kuwa sehemu ya mjadala wa kuwa tupewe au tusipewe. Hivi ndiyo vinavyotafsiri utu wetu kama binadamu. Hivi ni mali yetu na ni vya kupiganiwa na kulindwa kwa nguvu zetu zote. Ni heri ya...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huku Kampeni zikiwa zimeshaanza na Uchaguzi Mkuu kukaribia hatimaye Rais wa 'Malawi ya Kaskazini' awapandishia 'Mishahara' Wanajeshi wote

    Kwa tulioko hapa nchini 'Malawi ya Kaskazini' tunajua kuwa sasa Kampeni za Uchaguzi Mkuu zimeshaanza japo nimegundua kuwa kumbe kwa mara ya Kwanza Uchaguzi Mkuu wa hapa 'Malawi ya Kaskazini' umefanana mno 'Kiratiba' na ule Uchaguzi Mkuu ambao nimesikia kuwa unaenda Kufanyika pia kwa 'Majirani'...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga kipindi cha pili, mgeni wetu aruhusiwe kuongeza mchezaji wote tuwe 11 kwa 11

    Kadi nyekundu wamepewa kiulaini sana na imewaua na kuharibu ladha ya mpira Tunataka kuona ubora wa wachezaji wetu na timu yetu yanga Hatuwezi kuona ubora kwa usahihi kwa kucheza na timu pungufu Kama rafu hata sisi tumecheza nyingi ila refa hajatupa kadi Tumpe nafasi mgeni wetu.. mechi ni ya...
  15. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

    Kuna watu watasema " oooh mods Uzi huu upelekeni jukwaa la intelligence kwa sababu Una madini mazito Sana" Haya Bana. Nianze kwa kusema Singo mazas sio wabaya kihivyo Kama tunavyo jaribu kutaka Ku uaminisha Uma. Pili niombe radhi kwa Singo mazas wote walio kwazika na threads zangu za nyuma...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
  17. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Mambo ni mazito kidogo. Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa. Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa. Hii ni hatari tupu.
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Ubungo: ACT-Wazalendo yadaiwa kumuwekea pingamizi Meya Jacob na madiwani wote wa CHADEMA

    Meya wa Ubungo, Boniface Jacob ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa ACT Wazalendo wamewawekea mapingamizi wagombea wa CHADEMA katika Halmashauri ya Ubungo akiwemo yeye. Amedai pia, ACT haijawawekea mapingamizi CCM. Huyu sio Membe kupitia ACT?
  19. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
Back
Top Bottom