Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,714
Oyster/ chaza ni mtamu. Jifunze samaki mbalimbali kwenye SAMAKIPEDIA uzi wa Bujibuji
☝️☝️Wanaitwaje?
Kumbe chaza ndio huyu!Oyster/ chaza ni mtamu. Jifunze samaki mbalimbali kwenye SAMAKIPEDIA uzi wa Bujibuji
Kwani unamla mdomoni au unamla downstairs?Kumbe chaza ndio huyu!
Ana mbunye mbona?
Unakurupuka ku comment kabla hujasoma comments zilizokutangukia?Anaitwaje?