Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia.
Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa...
Amemuomba nimletee sasa kwa kuwa sipendi nimuudhi nawauliza wadau mnisaidie kujua kama nimepatia kwenye manunuzi au la!
Mazingira yanaashiria Itakuwa ni desturi kwa miezi kadhaa hivyo najipanga mapema
Aksanteni sana kwa ushirikiano mtakaonipa
Nawatakia Jumamosi Njema
RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na kuhamishiwa Wizara ya Madini, kwa sababu kazi waliyoifanya wakiwa TMAA ilikuwa ya hovyo
Amesema watumishi hao...
Kama ni muhitimu wa mafunzo ya kilimo kuanzia Diploma mpaka Degree basi njoo hapa tupeane updates za ajira/kazi hata temporary term iwe serikalini, Taasisi za kiserikali, kampuni binafsi, Mashamba mbalimbali makubwa n.k
KARIBUNI SANA VIJANA.
Ataagwa kesho Lugalo Jeshini kabla ya mwili kusafirishwa kwa maziko Mkoani Mara.
Alilazwa Hospitali ya Mloganzila kwa Matibabu baada ya kunywa sumu.
Marehemu Daniel Mirumbe Marwa alikuwa Askari wa Kikosi cha Jeshi 92 KJ na mkewe aliyemuua aliitwa Joyce Ismail Bhoke.
Marehemu hao wameacha...
Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar
Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
Kama ni kweli Serikali imetumia usalama kugushi makaratasi ya uchaguzi, kupanga matokeo ya uchaguzi Tanzania nzima na kufilisi wapinzani wafanyabiashara na hata kuwajeruhi au kushiriki kwa namna yeyote kwenye mauaji ya wapinzani ni tishio kubwa sio tu kwasasa lakini kwa miaka mingi sana ijayo...
Picha ya Pamoja ikimwonyesha Mhe. Halima Mdee na wenzake 19 mara tu baada ya kuapishwa na Spika Job Ndugai (hayupo pichani) JIjini Dodoma Juzi
Nimepata fursa ya kusikiliza maelezo ya Halima James Mdee aliyoyatoa jana, tarehe 01 Desemba 2020, mbele ya waandishi wa habari, katika Hoteli ya...
Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi.
Mbowe na...
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA wakihofia usalama endapo watafika ofisi za chama hicho.
--
Awali Baraza...
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya...
Kama tukikubaliana na hoja ya ''kununuliwa'' ambapo viongozi wote wa Juu wa Balaza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) wanaweza ''kununuliwa'' basi kuna tatizo kubwa nala msingi ndani ya chama ambacho kwa sasa kingekuwa ni chama kilichokabidhiwa mali za Taifa zima wazilinde na kuziendeleza kama...
Habarini wakuu!
Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu.
Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi).
Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
Wakati utajiri wa Mark Zuckerbergs unafikia US $ 100 bn utajiri wa Genius Kadungure ulikua kati ya US$ 10-100 million. Vijana hawa walizaliwa mwaka mmoja. Mmoja akiwa mwanzilishi wa Facebook mwingine biashara zake nyingi hazikua zinajulikana.
Genius alimiliki magari ya kifahari na kuishi...
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati nafasi.
Je, sisi Watanzania kupitia TFF hatuwezi kuona hii ni fursa ya sisi kuanza kuwashauri baadhi...
Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake.
Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
Wakuu,
Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao.
Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.