Watekaji Nigeria wamewaachia haraka wanafunzi kwasababu wote ni wa Dini yao

Machame Juu

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
1,510
3,332
Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu.

Pia miezi michache iliyopita hawa magaidi waliwateka wavulana wanafunzi huko kaskazini mwa Nigeria na kuwaachia huru bila kuwadhuru. Imani yao iliwasaidia.

Ila cha kuhuzunisha 2013 magaidi yalivamia shule ya bweni ya wavulana kwenye mji wa joz central Nigeria na kuwachoma na kuwachinja wanafunzi zaidi ya mia mbili bwenini kwasababu walikuwa wakristo.

2014 magaidi waliwateka wasichana wanafunzi wakikristo na kuwabaka na kuwalazimisha wabadili dini yao ya kweli lakini hakuna hata muislamu mmoja aliyeandamana wala kupinga ukatili huu. Hii inaonyesha ndugu zetu upande wa pili wanaridhia kabisa unyama huu. Wengine wanaenda mbali na kutetea dini inaruhusu.
 
ujinga huu watu wanakufa we unasema imani za watu?

dini yako i practice kwa watu ambao mnashare pamoja imani.
Mimi sina muda wa kusali sababu siamini katika dini yoyote, watu wanao wauwa wengine washugulikiwe kwa kosa la kuua lakini sio kwa sababu ya dini yao wameua watu wa dini nyingine.

Ukileta udini kwenye hilo suala lazima utaelekea kwenye dini ipi ni bora na ipi siyo bora(kuongeza tatizo badala ya kupunguza tatizo)
Ndo maana nikasema mambo ya dini aachanenayo sababu hizo ni imani za watu. Kinachotakiwa watu hao wanao waua wengine washughulikiwe bila kuhusisha dini.
 
"2014 magaidi waliwateka wasichana wanafunzi wakikristo nakuwabaka na kuwalazimisha wabadili dini yao ya kweli lakini hakuna hata muislamu mmoja aliyeandamana wala kupinga ukatili huu. Hii inaonyesha ndugu zetu upande wa pili wanaridhia kabisa unyama huu. Wengine wanaenda mbali na kutetea dini inaruhusu".

Hao sio waislamu ,,hao ni wahalifu wanatumia dini kufanya uhalifu.Jukumu la kuwadhibiti ni la serikali kwanushirikiano na raia maandamano hayatawamaliza.
 
hao ni magaidi sawa na magaidi wengine. Uislam hauhusiki hapo ktk utekaji.wala ukristo hauhusiki kutupa lawama kwa uislam.ila kwa pamoja tunapinga na kulaani haya makundi yanayo fitinisha ukristo na uislam.
Yaani wengi wenye mtizamo kuwa hayo makundi ni ya Kiislam laiti wangekuwa na upeo kama wako basi isingekuwa kuna kukashifiana humu kuhusu mambo ya kiimani. Big up sana.
 
Hawa ni waislam pure na wanapigana katika kuendeleza dini, tusiache yaliyo dhahiri na kujificha kwenye ramli.
 
Kuna dini bora zaidi nyingine linapokuja suala la kutokuhamasisha vurugu na kuheshimu uhuru wa watu wengine.
Mimi sina muda wa kusali sababu siamini katika dini yoyote, watu wanao wauwa wengine washugulikiwe kwa kosa la kuua lakini sio kwa sababu ya dini yao wameua watu wa dini nyingine.

Ukileta udini kwenye hilo suala lazima utaelekea kwenye dini ipi ni bora na ipi siyo bora(kuongeza tatizo badala ya kupunguza tatizo)
Ndo maana nikasema mambo ya dini aachanenayo sababu hizo ni imani za watu. Kinachotakiwa watu hao wanao waua wengine washughulikiwe bila kuhusisha dini.
 
False equivalence
hao ni magaidi sawa na magaidi wengine uislam hauhusiki hapo ktk utekaji wala ukristo hauhusiki kutupa lawama kwa uislam ila kwa pamoja tunapinga na kulaani haya makundi yanayo fitinisha ukristo na uislam.
 
chanzo??

majuzi nimesoma report moja kutoka kwa local reporter wa Nigeria, inaonyesha hizi habari zinapotoshwa kwa kiwango kikubwa sana na vyombo vya mabeberu.
 
Watekaji magaidi ambao wengi wao ni Fulani waliowateka wasichana wanafunzi katika shule ya boarding kaskazini mwa Nigeria wamewaachia huru wanafunzi wote haraka sana bila hata kuwadhuru wala kuwadhalilisha. Kilichowasaidia awa mabinti wote walikuwa Waislamu.

Pia miezi michache iliyopita hawa magaidi waliwateka wavulana wanafunzi huko kaskazini mwa Nigeria na kuwaachia huru bila kuwadhuru. Imani yao iliwasaidia.

Ila cha kuhuzunisha 2013 magaidi yalivamia shule ya bweni ya wavulana kwenye mji wa joz central Nigeria na kuwachoma na kuwachinja wanafunzi zaidi ya mia mbili bwenini kwasababu walikuwa wakristo.

2014 magaidi waliwateka wasichana wanafunzi wakikristo na kuwabaka na kuwalazimisha wabadili dini yao ya kweli lakini hakuna hata muislamu mmoja aliyeandamana wala kupinga ukatili huu. Hii inaonyesha ndugu zetu upande wa pili wanaridhia kabisa unyama huu. Wengine wanaenda mbali na kutetea dini inaruhusu.
Harafu kuna mbwa fulani hapa nchini,utawasikia wakitoa machozi na kulalamika jinsi wa loyingya muslim wanavyoteswa huko Mynimar/burma au jinsi wapalestina wanavyoteswa,
Akiteswa mweusi mwenzao kimya,akiteswa mwarabu/asia,kelele kibao

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom