tapemeasure
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 141
- 84
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apa wale ambao kwenye presentation wanatamka" the the "nyingi wasijaribu😆Mashindano ya 8 ya uwandishi wa essay kwa wanafunzi waliopo vyuo mbali mbali Tanzania.
Hahaha ni noma. Wale walio soma shule primary schoool mpka advance shule zile za kishuwa. Basi fursa itakuwa imeka powa sana kwaoApa wale ambao kwenye presentation wanatamka" the the "nyingi wasijaribu😆
kiufupi waliosomea kwenye shule za magari ya njanoHahaha ni noma. Wale walio soma shule primary schoool mpka advance shule zile za kishuwa. Basi fursa itakuwa imeka powa sana kwao